Zari white party dress! Ni shidaaa!

Ule mswada wa sheria mpya za mitandaoni JK anasaini lini
 
Jamii Photos mda mwingine imekuwa kama Forum ya porn vile. JK pitisha sheria haraka sana.

Mkuu acha unafiki ina maana hujapenda au ndo una comment kwa sababu Shem yuko kando ndo ajue kwamba hupendagi haya mavitu?
!
 
Hahaha sasa akisaini nasikia hata sie wote tuliopokea ujumbe au picha basi ndani! Ni kweli au watakuwa wanadili na yule aliyeituma mwanzoni kbs? Maana kama ikijumuishwa na mtu anayepokea tu si balaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…