Zari Mshauri Diamond

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
845
Habari zenu Marafiki hapa jamvini..
Katika maisha ya binadamu kuna Mitihani mbali mbali amabayo kama hautakuwa makini basi jiandae kufeli. Ila ikumbukwe kuwa sio kila anaefeli basi ndio mwisho wa maisha bali ukifeli na kujua ulipokosea inakuwa rahisi sana kufanikiwa(kufaulu) tena kama utatumia akili yko vizuri. Binadamu tumejaaliwa tabia ya kuwajudge wengine kwa matatizo na mapungufu waliyonayo huku tukijisahau kuwa hata sisi tuna mapungufu ambayo hatutaki wengine wajue.

Back to the Point
Ninachojaribu kusema ni kwamba Kwa sasa kumekuwa na sintofahamu katika familia ya Diamond na Wanayoyaleta hayo yote ni Ndugu zake ambao wanajitahidi kwa kadri ya uwezo wao kuwatenganisha Daimondi na Zari kwa matakwa yao binafsi. Tukumbuke kuwa Mondi tayari ana mtoto na Zari,mtoto ambaye ndio kiungo kikubwa katika mapenz yao.

Kama diamond atathubutu kufanya kile mama na dada zake "Wakufikia" wanataka afanye basi atakuwa ni mmoja kati ya "The bigest Losers" in the history of Bongo fleva
Tunajua ni jinsi gani Mondi anavyomkubali zari na kwa kutumia upendo huo wa dhati basi Napenda kumuomba "ZARI MSHAURI DIAMOND" akakae na baba yake waongee wayamalize kwa sababu kwa hali inavyoonekana sasa ni kwamba tatizo halikuwa Baba bali ni mama kupenda makuu.

Kwa hisani ya #mckonjeTv
 
love is all about two people,wengine wanaweza kushauri tu lakini hawawezi kutoa maamuzi,mwisho wa siku diamond ndio mwenye kutoa maamuzi ya mwisho.
 
Kitendo cha zari kuzaa na mond kimemmaliza meng'eng'e.mimi ninauwakika kama sio "KIKI" ipo siku yanayomkuta baba mond yatamkuta mama mond pia.
 
Ulimbukeni unawasumbua. Wametoka mbali hao...
Eli mu 0 % shortly hawajielewi!
Wanatafuta pia umaarufu kwa mgongo wa mondi
 
wewe mtoa mada na ndugu zako mmeyamaliza..?
zari ana ushauri gani sasa???
labda amshauri azalishe watu kama yeye alivozalishwa na bwana ake ..

na amshauri ahame madale ahamie bukina faso
kama yeye alivohama uganda kwenda south
 
Back
Top Bottom