Kama binadamu lazima atakua anaumia lakini wala hayamkoseshi usingizi manake wameshamkomaza na kumtia sugu!! Mtu keshaambiw hadi suala la kumrushia jini mama ake mzazi unadhani ataona jipya kwa kuambiwa hana uwezo wa kupiga mimba!!! Katika kumbukumbu zangu, Diamond aliwahi kuja juu kama moto wa kifuuu siku magazeti ya Shigongo yalipoandika kwamba mmoja wa watu wa Diamond anamtia mama ake Diamond!Ivi kwa nini watu wanahisi diamond hawezi kumpa mimba zari? Mwenyewe atakuwa anaumia sana atajiona kama sio mwanaume kamil maana kila mtu ana doubt kuhusu mimba ya zari
Why? Manake sidhani kama nimeongea kitu kinachoashiria mimi ndie yeye!!Wewe ndio daimondi le bilionea???
Huyu mmama anajifungua lini???
Ndoa ya shoga ako wema iliishia wapi
Haaaaaaa shoga angu huyu kuna muda hata simuelewi kwakweli
Bina akaunti yako ya insta watumia jina gani vile
ha ha ha teamking'ang'a kamata id nyingine...mi pia niliguna kwa masogange akaniblockMie niliguna tu, likaniblock.Mazafanta
ha ha ha teamking'ang'a kamata id nyingine...mi pia niliguna kwa masogange akaniblock
Huyu mmama anajifungua lini???
sio babu tuuu ndo mastaa uchwara walivo, kublock na kufuta comments waweza ingia kwa page zao ukahisi anasifiwaga tu kumbe ndo comments anazotaka zionekaneBabu ana ashkimajinun kila ki2 anataka mumsifie kma wema.......ikizeeka ataacha mvumilieni 2
sio babu tuuu ndo mastaa uchwara walivo, kublock na kufuta comments waweza ingia kwa page zao ukahisi anasifiwaga tu kumbe ndo comments anazotaka zionekane
Dai alipohojiwa bbc alisema mwezi wa nane mwanzoni
Nipo best...yule jamaa mi nahisi kuna stage aliziruka ujanani ndo anazifidia uzeeni lolBest ulipotelea wapi?kwema lakini huyo babu stress z maisha zinamsumbua kila siku anadai anatengeneza 500thou perwk wakati hata banda lake kashindwa kumalizia
pyeeeeeeeeeeyetu macho tu
Nipo best...yule jamaa mi nahisi kuna stage aliziruka ujanani ndo anazifidia uzeeni lol
Nipo best...yule jamaa mi nahisi kuna stage aliziruka ujanani ndo anazifidia uzeeni lol
ha ha ha kweli ile nyara ya taifaTeh Teh...anafaa kutunzwa ni nyara ya taifa...