MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,827 Jun 29, 2016 #21 bushland said: Utamu Babuu, utamu babuu Click to expand... Utamu gani bwanaaaa mtu keshatotoleshwa mara 3 yeye kamtotolesha wa 4 kuna utamu gani hapo..
bushland said: Utamu Babuu, utamu babuu Click to expand... Utamu gani bwanaaaa mtu keshatotoleshwa mara 3 yeye kamtotolesha wa 4 kuna utamu gani hapo..
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,478 Reaction score 3,647 Jun 29, 2016 #22 Hivi kazaa watoto wangapi?
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,226 Reaction score 27,063 Jun 29, 2016 #23 iw8 said: Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa. Au walioko kwenye ndoa. Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha. Click to expand... Utamu[emoji39]
iw8 said: Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa. Au walioko kwenye ndoa. Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha. Click to expand... Utamu[emoji39]
Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,161 Jun 29, 2016 #24 Dah! Zari saa zingine sura yake kama mchoro kumbe ndo kitu live!
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,999 Jun 30, 2016 #25 MasterP. said: Utamu gani bwanaaaa mtu keshatotoleshwa mara 3 yeye kamtotolesha wa 4 kuna utamu gani hapo.. Click to expand... Mwanamke aliezaa Ni mtamu zaidi kuliko ambaye hajazaa, uliza wanandoa, . . . . Upo hapo
MasterP. said: Utamu gani bwanaaaa mtu keshatotoleshwa mara 3 yeye kamtotolesha wa 4 kuna utamu gani hapo.. Click to expand... Mwanamke aliezaa Ni mtamu zaidi kuliko ambaye hajazaa, uliza wanandoa, . . . . Upo hapo
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,199 Jun 30, 2016 #26 Totos Boss said: Kama umevaa kwa Ramadhani toa hiyo rangi ya mdomo. Click to expand... Ila kuzini ruksa
Totos Boss said: Kama umevaa kwa Ramadhani toa hiyo rangi ya mdomo. Click to expand... Ila kuzini ruksa
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,113 Reaction score 4,011 Jun 30, 2016 #27 Mke wa raisi
tracy martins JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 3,532 Reaction score 1,484 Jun 30, 2016 #28 iw8 said: Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa. Au walioko kwenye ndoa. Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha. Click to expand... Umri mkubwa wana busara kuliko wadogo, wadogo wanapenda show off
iw8 said: Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa. Au walioko kwenye ndoa. Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha. Click to expand... Umri mkubwa wana busara kuliko wadogo, wadogo wanapenda show off