Zari katika hijabu

Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa.
Au walioko kwenye ndoa.
Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha.
 
Kama umevaa kwa Ramadhani toa hiyo rangi ya mdomo.
 
Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa.
Au walioko kwenye ndoa.
Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha.
Utamu Babuu, utamu babuu
 
huyu mtoto Naapa bongo nzima hakuna anayemfikia uzuri
 
Hivi huyu demu ana watoto wanne kweli? Anajua sana kujitunza
 
Mtoto mzuri sana huyu,kama ana miaka 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…