Zari Arusha Dongo gizani

galton

Member
Apr 8, 2017
80
126
Zari awatupia dongo wabaya wake, akiwananga vimada wa mzazi mwenzie, diamond platnums na kuwaambia its familia time hivyo hawana nafasi kwa sasa
380099e58be78d275d7f9f8af87eeee2.jpg
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
 
Bora umenena ukweli wengine wana commwnt kiwivu wivu tu
Watu wanaigiza tu kwenye mitandao humu ila kiuhalisia wanafanya the same Zari anafanya,wanafeel the same Zari anafeel

Asilimia 90% ya wanaume zetu wanachepuka mbayaa!!halafu michepuko hawana hata adabu na heshima kwa wewe mmiliki...Unakuta mtu anavimba eti anapendwa kuliko wewe mwenye mume na hashuo juu anakuletea!!akihongwa vilaki tatu nne huko gesti basi anajiona anapeeendwa!

Lazima uwakumbushe mara moja moja!!na huwa inawauma sana wakiona family iko pamoja!!
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Tema mate chini Niffah!!hayajakukuta bado kuna wakati itafikia baba watoto wako unajua kabisa anachepuka lakini huwezi kumwachia!!

Umesahau Wema alivyomwindaga Meninah Atick kipindi kile kisa Domo?!
Akaja akaanzisha timbwili zito studio kwa manecky kisa alimkuta Victoria Kimani na Diamond wako pamoja,mwisho wa siku wakaishia kupigana na Chibu!!
Tena Wema hana subira ya kuvumilia ujinga,yaani akijua umemchukua bwana wake au unajipeleka peleka hakuachii,atapambana mpaka mwisho!!

Mwanaume anauma Niffah acha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom