kasulamkombe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 2,232 Reaction score 2,493 May 6, 2018 #121 na kiuno pia kinaweza kuponza mambo mengi Ndumbayeye said: huyu kuna kitu kikubwa alichomuudhi Diamond sio bure, mdomo haukawii kuponza kichwa. Click to expand...
na kiuno pia kinaweza kuponza mambo mengi Ndumbayeye said: huyu kuna kitu kikubwa alichomuudhi Diamond sio bure, mdomo haukawii kuponza kichwa. Click to expand...
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,934 May 6, 2018 #122 Mambo mengine bhana
kasulamkombe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 2,232 Reaction score 2,493 May 6, 2018 #123 wewe ndio una akili kuliko wabongo wote.angalia marafiki zake.hivi masogange walikutania wapi? waafrika tunapendana hasa kwenye biashara zetu.kitu kizuri mtulivu
wewe ndio una akili kuliko wabongo wote.angalia marafiki zake.hivi masogange walikutania wapi? waafrika tunapendana hasa kwenye biashara zetu.kitu kizuri mtulivu
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,896 Reaction score 19,755 May 6, 2018 #124 Victoire said: Mimi pia namshangaa ,hadi akinunua mabirika anahabarisha kwenye mitandao .Huyu mwanamke anatatizo sio siri. Click to expand... Chibu wanawake zke wote hovyohovyo tu,kuanzia huyu na huyo mobeto
Victoire said: Mimi pia namshangaa ,hadi akinunua mabirika anahabarisha kwenye mitandao .Huyu mwanamke anatatizo sio siri. Click to expand... Chibu wanawake zke wote hovyohovyo tu,kuanzia huyu na huyo mobeto
T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,967 May 6, 2018 #125 Mrs Van said: Zari anapenda magari na ananunua. Mimi kuna kitu nakipenda ila naishia kukiota tu. Click to expand... Za kupigia Picha ziko nyingi
Mrs Van said: Zari anapenda magari na ananunua. Mimi kuna kitu nakipenda ila naishia kukiota tu. Click to expand... Za kupigia Picha ziko nyingi