seleman msumeno JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 202 Reaction score 34 Apr 30, 2015 #1 zari all white party ni show ambayo inahudhuriwa na baadhi ya mastar wakiwamo 1.Godfather 2.Top ten ya washindi wa big brother africa,na wengine wengi kibao,je kwa upande wako ww unazungumziaje show hiyo itakayo fanyika mei mosi
zari all white party ni show ambayo inahudhuriwa na baadhi ya mastar wakiwamo 1.Godfather 2.Top ten ya washindi wa big brother africa,na wengine wengi kibao,je kwa upande wako ww unazungumziaje show hiyo itakayo fanyika mei mosi
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,038 Apr 30, 2015 #2 Nahidi broza anaoa mwanamama wa kiganda. Najiuliza hadi mama mkwe kaja kufanya nini?
seleman msumeno JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 202 Reaction score 34 Apr 30, 2015 Thread starter #3 Sista said: Nahidi broza anaoa mwanamama wa kiganda. Najiuliza hadi mama mkwe kaja kufanya nini? Click to expand... kwamba mama wa zari kaja na yeye au
Sista said: Nahidi broza anaoa mwanamama wa kiganda. Najiuliza hadi mama mkwe kaja kufanya nini? Click to expand... kwamba mama wa zari kaja na yeye au
Kitangiri15 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 352 Reaction score 750 May 1, 2015 #4 Mlimani city pamenuka
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 May 1, 2015 #5 Pamenuka hawajasafisha mpaka sasa?
S sam dimpoz Member Joined Feb 16, 2015 Posts 9 Reaction score 5 May 1, 2015 #6 seleman msumeno said: kwamba mama wa zari kaja na yeye au Click to expand... yah yupo ndani ya nyumba
seleman msumeno said: kwamba mama wa zari kaja na yeye au Click to expand... yah yupo ndani ya nyumba