Zari aibana pua ya Diamond....

Zari aibana pua ya Diamond....

Status
Not open for further replies.
mdogo wangu diamond namuonea huruma sana coz tukiwa hot kenya na uganda wanakuja kuchota sisi tunabaki masikini......nacheka kwasababu najua nini kinaendelea hapo...am stil chuma muulize richard wa bg brother na mwisho mwampamba alafu njoo kwetu sisi washindi wa tunO ndogo za vijana na world inatujua lakini leo tumefulia mbaya ...........mapenzi yana run dunia bab shituka wenzio tume ambulia kuijua cana lakini leo tuna futa tongo tongo kitaa na kuvuta mikaa na wakibna nanihino walio wahi kuhiti bongo.....tupo sudani teneke .....tumechoka tunaunga unga na unga bongo....plz mjengee mama tafuta maendele sio sifa.plz mdogo wangu
 
Wanawake wa Uganda sijui wana nini, jamaa yangu mmoja alikuwa huko kipindi cha new year sasa hivi kadata kabisa anasema hata akipata likizo ya wiki anataka kwenda tena.
 
Matola ndio Fundi wa sredi kama hizi
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom