Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,449
- 574
hujasikia taarifa ya habari leo wameunda wizara ya kilimo sijui ili kuwanufausha wakulima wa zanzibari hivi ile inalimaga kweli sijui kama si ufujaji wa hela tu hapa .Nadhani lengo lingine ni kupanua ajira kwa wazanzibar na kunufaika zaidi na fedha za muungano (watungaji, wasahihishaji, wachapaji nk)
Wote watapata division one ya point 7!hongereni wazanzibar kwani ubora kwenu si kitu!Wakijitungia maswali yatakua hivi:
1. Una vidole vingapi vya mikono??
2. Sheikh Fareed alitoweka kwa masaa mangapi??
3. Kuku ana miguu mingapi??
hujasikia taarifa ya habari leo wameunda wizara ya kilimo sijui ili kuwanufausha wakulima wa zanzibari hivi ile inalimaga kweli sijui kama si ufujaji wa hela tu hapa .
hivi zanzibari wana kilimo gani kule au ndio hiyo karafuu ,iliki na urojo inaundiwa wizara?mkuu nivea
labda itakayoshughulika na majahazi kusafilisha chakula kutoka huku Tanganyika. si wanajuwa hela itatoka jamhuri? Shukrani ya punda mkuu..... Hawana shukrani hata kidogo.
hivi zanzibari wana kilimo gani kule au ndio hiyo karafuu ,iliki na urojo inaundiwa wizara?
huwa najiuliza tena tukivunja muungano hivi ndio marufuku kutinga mguu kuchukua hivyo vitu?mkuu kwa uelewa wangu mdogo baada ya kuishi mikowa ya mwambao.
- zao la karafuu ndilo peke mashuhuri ninalolifahamu, yawezekana na mengine yakawapo lakini kwa uchache sana.
- Asilimia kubwa ya vyakula hutoka huku tanganyika na majahazi ndio njia kuu za kusafilishia.
hata hivyo watanganyika tunaonekana kuupenda muungano zaid, lakini kule wete, mwanakwerekwe, mkokoton,
kyembesamaki nk hawautaki kabisa hata kuusikia siumewasikia uamusho?
Dhambi ya ubaguzi nikama kula nyama ya mtu, ukisha kuila tu huachi - JK Nyerere.
Mtihani wa hesabu utaanza hivi,,,
Bismilah rwahiman rwahiim.
1. 1-0= ?(a) 2 (b)1 (c) -1
2. 10 x 0 =? (a) 10 (b) 100 (c) hakuna jibu
huwa najiuliza tena tukivunja muungano hivi ndio marufuku kutinga mguu kuchukua hivyo vitu?