Zanzibar wangalifuta sherehe za Mapinduzi zinapalilia chuki

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,908
7,822
Siku zote wiki ya mapinduzi ni ya kukumbushi na kupalilia uhasama visiwani. Kama wapemba hawakubaliki bora waachiwe kisiwa cha pemba waendeshe maisha yao. Karume anasema katiba ilitakiwa isuhusu vyamama vingine kugombea urais iwe kwa CCM tu.Aitaka CCM kujiandaa kwa uchaguzi wa marudio'
 
Huyu Ali Karume ana akili timamu?ni mgonjwa wa akili au ni mgeni sana hapa Tanzania.Anaongea kama Idd Amin Dada
 
Ali Karume anajitambua. Tofauti na yule kaka yake ambaye amerubuniwa na akina Jussa
 
Aliwahi kutokea waziri mmoja wa elimu wa Zanzibar, alichoma moto vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyokuwa vinatumika mashuleni, na nakala zingine alizitupa baharini. Kuna kizazi fulani cha wazanzibari historia ya nchi yao waijuayo niya vijiweni tu.
 
Huyo ali karume ana kesi ya mauaji kipindi hicho,hivyo analinda mapinduzi kesi yake isikumbushiwe.
 
Punguza viroba hivi historia inapotezwa kwa kuchoma moto vitabu na kuvitia baharini?
 
Huyo ali karume ana kesi ya mauaji kipindi hicho,hivyo analinda mapinduzi kesi yake isikumbushiwe.
Kwa hotuba ya Ali Karume nimemdharau kila mwana ccm zanzibar na wote walioruhusu hili kongamano kurushwa live. Zanzibar ina tatizo la adui ujinga na kuiweka Zanzibar hatarini.
 
I concur with you to some extent u can't celebrate while the country is in dilemma
 
Karume aliekuwa rais anaamini mapinduzi yalikuwa na lengo la kujitawala wenyewe wazanzibar na sio kutawaliwa na mkoloni mweusi,kumbuka wazanzibar walimuondoa mreno na muarabu na sasa ni zamu ya mkoloni mweusi kuondoka.
 
Nawashauri angalia TBC Zanzibar ni janga na TBC hatutaki siasa za zanzibar zihamie bara
 
Nawashauri angalia TBC Zanzibar ni janga na TBC hatutaki siasa za zanzibar zihamie bara

Aisee sikujua uhasama ni mkubwa hivi. Sidhani kama ccm walipaswa kulibariki kongamano hili, linahamasisha ubaguzi, usahama utazidi mara dufu. Tbc wapaswa kusitisha urushaji wa kongamano hili
 
Wewe ni mtoto wajuzi ujui. Tu ujui na ufahamu nini mahana ya mapinduzi hivyo ni bora ungekaa kimya tu
 
Ali Karume anajitambua. Tofauti na yule kaka yake ambaye amerubuniwa na akina Jussa
Hajitambui na wala hana radhi. Na kwa mzanzibari mwenye umri unaolingana na mimi anajua kipi kinamsumbua kiakili (haunt) na hajui asemacho wala akifanyacho. angelikuwa mkristo ningeomba aombewe, kwa vile hata sifa za kuwa muislamu hana ijui tufanye nini. Tumhurumie tu.

Sherehe za Mapinduzi mie sioni ubaya wake kuliadhimisha; ni kulikumbuka tukio kama historia, ubaya au uzuri kitu chengine
Hivi majuzi ulaya wamefanya maadhimisho ya kukumbukwa mwisho wa vita vya dunia. Vilivyowagusa sana walidiriki kulia, lakini ukweli unabaki palepale tukio lipo kihistoria
 
Siasa za CCM ni chafu sana.
Zanzibar ina waislam 98% ni wengi wakiwa ni wajukuu wa mitume. Yaani wenye asili ya mashariki ya kati.
Hatutegemei siasa ziendelee kuwagawa waislam wa Zanzibar kwa manufaa ya madaraka ya kidunia yanayong'ang'aniwa na makada wa CCM wanaishi kwa kutumia mgongo wa madaraka.
Hatutaki kuona damu ya waislam wa Zanzibar ikimwagika ili Shein abaki madarakani.
Kura zilizomkataa tarehe 25/10/2015 zilikua ni za wazanzibari,sasa anataka kura nyingine kutoka wapi?
Wazanzibari wanamtaka Shein awe makamu wa kwanza wa rais awamu hii na maalum Seif awe rais wao ,hapo ubaya uko wapi ?
Historia isituletee maafa kwa manufaa ya watawala.
Mapinduzi yalishafanyika na wengine waliyoyasimamia kama John Okelo walishasahaulika. Na wengi wanaopiga kelele leo hawakushika bata jiwe kupleta hayo mapinduzi ya chuki wanayohuburi leo hii ili waislam waonekane ni wakorofi kumbe ni siasa chafu za CCM.
 
Inashangaza TBC Kutumika kufanya uchochezi wa kishenzi namna hii mambo yaliyoongelewa ni mabaya hata kusikia. Ccm Zanzibar itakuja vunja muungano .Balozi Karume ana uchu wa madaraka lakini anaongea kama mwehu.
 
Nimemsilkiliza Ali Abedi Karume na kaniacha na bumbu-wazi. Anasema katiba ya Zanzibar iseme kwa uwazi kuwa raisi wa Zanzibar awe ni mwanachama wa CCM au chama kinachoaminika kuwa kitalinda mapinduzi na sivinginevyo. Na yeye hakubaliani na SUK kwani serikali ya wakati huo ilipipigia chapuo SUK wananchi walitakiwa wawe huru kuamua. Akaendelea kuwa wanachama wa CCM waliounga mkono SUK ni chini ya 35% hivyo CCM haikuunga mkono hiyo kitu. Amewaomba vijana wa CCM wakipigie kura chama chao ili kishinde na wabadilishe katiba. Akamalizia kwa kumnanga mtoto wake (hakumtaja lakini ni wazi alimaanisha Fatma Karume) kuwa kamkosea..(raisi )....adabu kwani huyo bwana ana umri mkubwa kumshinda baba yake, hana elimu ya kutosha kumshauri raisi kwa vile hajasoma Oxbridge au Ivy League universities kama alivyosoma yeye (Ali Karume). Akitaka kutoa ushauri au awe kiongozi basi arudi shuleni (Oxbridge) halafu afanye kazi UK mpaka afikie wadhifa wa QC (Queen's Council). Najiuliza hivi huyu jamaa anatafuta nini? Ndiyo kweli alitaka kuwa raisi wa Tanzania? Anataka kuipeleka Zanzibar wapi? Je Zanzibar aitakayo yeye ndiyo Zanzibar tuitakayo ndani ya Muungano huu wa serikali mbili?
 
Back
Top Bottom