Mkoa wa zanzibar hauwezi kujiendesha kama nchi..bajeti yao yote inatokana na mapato ya bara
Wakuu habari za ndani kabisa kutoka Visiwani ni kuwa tayari watu wa kule washaanza na Plan B wakati Dodoma bado ngoma mbichi.
Kuna watu wa Intelligentsia (sio inteligensia) ambao wana asili ya Pemba na Unguja (wamo CCM, CUF, waaio na vyama) wanajiita "Zanzibar First " na ni wasomi, wana influence, wana pesa, wako cultured, wako socially aware, wako exposed na dunia inavyokwenda na wana linkages na network na wenzao toka nchi mbali mbali dunian wameandaa "White Paper" au tuseme Blue Print ya future ya Znz na hoja zao kuu mbili ni
1.wapewe referendum for independence ili waamue kama wawe huru au waendelee kuongozwa toka Dar/Dodoma
2. Kura zao zikiwa NO wanataka Znz ipewe kitu kinachoitwa DEVOLUTION MAX ambayo watajotawala kwa kilakitu kasoro DEFENCE na FOREIGN AFFAIRS
White paper yao inaelezea jinsi gani watakavyo jitawala, kiuchumi, kijamii na kisiasa na wamejikita zaidi kwenye uchumi.
Inavyoonekana wanasiasa wote wa CUF na CCM ambao wanakula kuku kwa system iliopo watapata taabu sana kwani hawa jamaaa wamejiandaa kisawa sawa sasa cha kujiuliza je hawa jamaa wanajaribu kuwapindua viongozi walipo au vipi?
Nikipewa rukhsa na aliteninitumia hii doc naweza kuiweka hapa kwa faida ya wote.
Stay tuned...
Mimi naunga mkono referrendum free and fair kuhusu Zanzibar.
Kama demokrasia ni utawala wa watu, kwa watu na kwa ajili ya watu, kwa nini watu wasipewe nafasi ya kuamua kama Zanzibar iendelee au isiendelee kuwa katika muungano?
Kwa hiyo kimsingi sina tatizo na referrendum.
Kuna maswali ya msingi yanahitaji kujadikiwa.
Kwa kuwa sasa hatuna uraia wa Zanzibar, Mzanzibari ni nani? Scotland waliamua kwamba yeyote aliyepo Scotland physically aruhusiwe kwa sababu walishindwa kujibu swali hili.
Referrendum ifanywe Zanzibar tu au Tanzania nzima?
Ikifanywa Zanzibar tu, atakayeshiriki na asiyeshiriki watatenganishwa vipi?
Ikifanywa nchi nzima, basis ya decision iwe simple majority? Ya wapi? Ili muungano uendelee uhitaji kupata simple majority kote?

Swali la Kwanza ni nani mzanzibari na nani anatakiwa kupiga kura ya referendum? Kwasababu hata wewe Kiranga ukiwa umeishi Zanzibar miaka 10 unapata kitambulisho cha mzanzibari mkaazi na kuwa Mzanzibar. Sasa huyu ni mkaazi na sio raia na inakuwaje mkaazi akapewa haki ya kiraia. Hili ni jambo la kwanza katika referendum litakuwa kikwazo hasa wakienda mahakamani!!!
Sure.
Nyerere was a disgrace to this nation.
Even though we are all going to die but thanks god for taking his soul away.
Sidhani kama ni ishue kubwa sana. Mwenye right ni yule mwenye haki ya kuoiga kura Znz it's that simple.
nyie tanganyika mnaponzwa na kitu gani kuingangania zanzibar kiasi icho??? km si njaa na choyo, kama visiwa mnavyo tele, kama bahari mnayo, kama ardhi mnayo, sioni mnachohitaji kutoka zanzibar
Humo Jussa na mstaafu Karume wanakosekana kweli?
Haya sasa. Km hii ni kweli kwa maana ya sasa inaweza kuwa kweli lkn huko tuendako hili haliepukiki. Katiba mpya ilitakiwa kumaliza kila kitu lkn naona maintarahamwe wapokwa fahamu kabisa kuhusu hili
nyie tanganyika mnaponzwa na kitu gani kuingangania zanzibar kiasi icho??? km si njaa na choyo, kama visiwa mnavyo tele, kama bahari mnayo, kama ardhi mnayo, sioni mnachohitaji kutoka zanzibar
Basically Scotland hawakushindwa kujibu swali . Wao walisema yeyete ambaye ni resident Scotland alipewa rukhsa ya kupiga kura. Znz wanaweza kufanya the same as long as wanayo proof ya nani ni resident. Hii si kazi kubwa afterall Znz wapo raia...wana passports...wana vitambulisho...wana daftari la wapiga kura....wana vitambulisho na kutokana na utata uliopo siku za nyuma si kazi kubwa ku verify who is who pale kisiwani. Scotland was more easier to say the least.
Referendum ifanywe Znz kwani wao ndio wanaotaka kujiondoa na status yao kama nchi. Bara hakuna problem hiyo.
Aliyeshiriki na asiyeshiriki watajulikana tuu kama ni resident au raia au mgeni. Basically hiyo ni right ya kila mwenye right ya kupiga kura znz
Nchi nzima itakuwa haiwezekani kwa sababu wanaotaka kujitenga ni wao wazanzibari na wao ndio walioomba referendum japo kisheria wanaweza kupiga kura bungeni kwao na kuamua kujiondoa frm muungano
Swali la Kwanza ni nani mzanzibari na nani anatakiwa kupiga kura ya referendum? Kwasababu hata wewe Kiranga ukiwa umeishi Zanzibar miaka 10 unapata kitambulisho cha mzanzibari mkaazi na kuwa Mzanzibar. Sasa huyu ni mkaazi na sio raia na inakuwaje mkaazi akapewa haki ya kiraia. Na upande wa pili wapo raia waliozaliwa Zanzibar wakaishi nje ya Zanzibar ambao wamekataliwa vitambulisho vya mzanzibari mkaazi ila hawa ni Raia na wanayo haki ya kupiga kura ila katiba haiwatambui. Hili ni jambo la kwanza litakuwa kikwazo katika referendum hasa wakienda mahakamani!!!