Zanzibar tunahitaji Muungano wa Serikali moja tu

Zanzibar tunahitaji Muungano wa Serikali moja tu

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari wadau wa JamiiForums,

Binafsi napenda kuchukua fursa hii kutoa rai juu ya muungano wa Zanzibar kama ifuatavyo.

Zanzibar haistahili kuwepo na serikali inayojiendeshe yenyewe ya ndani sababu ni moja ya vikwazo vya maendeleo Zanzibar kuwafanya wananchi kutawaliwa na serikali mbili kitu ambacho hakiko kokote duniani.

Lakini pia hakuna kiongozi yoyote wa Zanzibar ambae anamapenzi na Zanzibar na mzalendo wa kweli zaidi ya kuwepo viongozi wanaon'ang'ania madaraka na kulisha matumbo yao

Pia wanachi wa Zanzibar tunahitaji kupewa budget za kimikoa kama inavyofanyika huko bara na kusimamiwa kwa ukamilifu utumiaji wa fedha mana Zanzibar haibadiliki wanakula wao viongozi na kila siku wanakula kwa style mpya.

Lakini la mwisho ni kwamba tushagundua kua Zanzibar na Tanzania bara tunaweza kuishi pamoja na kufanya mambo yetu kwa pamoja na tumeona na tunaaminiaana na tupo huru hasa wazanzibari, tupo huru sana bara maana tunaenda kukaa mikoani huko na tunakaribishwa na kuheshimiwa sana.

Hivyo nadhani ni wakati sasa kwa wazanzibari kudai muungano wa serikali moja tu

Najua wasakatonge wa kisiasa wa chama tawala Zanzibar na upinzanj watagoma sababu ya maslahi yao binafsi ila tu waoumia ni wazanzibari hivyo serikali ya bara tunaomba mutusaidie kuiondosha serikali ya Zanzibar hatuitaki inatukandamiza.

Dr. Mwinyi anajitahidi sana ila haiwezekani mana mafisi ni wengi na wanatumia style mpya zanzibar haiwezekani.

Najisikia aibu kabla ya muungano Zanzibar uchumi wake ulikua juu kuliko bara ila leo bara ipo juu kiuchumi kuliko zanzibar na nakataa kusema ni bara ndio inayodumiza maendeleo yetu Zanzibar bali ni viongozi wa Zanzibar ndio sababu kuu.

Nakuhakikishieni kua Wazanzibari ambao sio washabiki wa siasa wanahitaji serikali moja ili pia kuwepo na upendo na amani hasa katika kipindi cha uchaguzi, tuondeleeni serikali ya Zanzibar tuendelee kupendana na kuzikana serikali ya Zanzibar imetufikisha pabaya hata leo kuna wengine hatuzikani.
 
Kabla ya muungano Zanzibar ilikuwa juu kiuchumi kwa sababu ya uwezo aliyeikolonaizi enzi hizo. Hata kabla ya uhuru uchumi wa Tanganyika ulikuwa juu kwa sababu ya Uingereza
 
Habari wadau wa jamii forum

Binafsi napenda kuchukua fursa hii kutoa rai juu ya muungano wa Zanzibar kama ifuatavyo.

Zanzibar haistahili kuwepo na serikali inayojiendeshe yenyewe ya ndani sababu ni moja ya vikwazo vya maendeleo Zanzibar kuwafanya wananchi kutawaliwa na serikali mbili kitu ambacho hakiko kokote duniani.

Lakini pia hakuna kiongozi yoyote wa Zanzibar ambae anamapenzi na Zanzibar na mzalendo wa kweli zaidi ya kuwepo viongozi wanaon'ang'ania madaraka na kulisha matumbo yao

Pia wanachi wa Zanzibar tunahitaji kupewa budget za kimikoa kama inavyofanyika huko bara na kusimamiwa kwa ukamilifu utumiaji wa fedha mana Zanzibar haibadiliki wanakula wao viongozi na kila siku wanakula kwa style mpya

Lakini la mwisho ni kwamba tushagundua kua Zanzibar na Tanzania bara tunaweza kuishi pamoja na kufanya mambo yetu kwa pamoja na tumeona na tunaaminiaana na tupo huru hasa wazanzibari tupo huru sanna bara mana tunaenda kukaa mikoani huko na tunakaribishwa na kuheshimiwa sanna

Hivyo nadhani ni wakati sasa kwa wazanzibari kudai muungano wa serikali moja tu

Zajua wasakatonge wa kisiasa wa chama tawala Zanzibar na upinzanj watagoma sababu ya maslahi yao binafsi ila tu waoumia ni wazanzibari hivyo serikali ya bara tunaomba mutusaidie kuiondosha serikali ya zanzibar hatuitaki inatukandamiza

Dr mwinyi anajitahidi sanna ila haiwezekani mana mafisi ni wengi na wanatumia style mpya zanzibar haiwezekani

Najisikia aibu kabla ya muungano zanzibar uchumi wake ulikua juu kuliko bara ila leo bara ipo juu kiuchumi kuliko zanzibar na nakataa kusema ni bara ndio inayodumiza maendeleo yetu Zanzibar bali ni viongozi wa zanzibar ndio sababu kuu

Nakuhakikishieni kua Wazanzibari ambao sio washabiki wa siasa wanahitaji serikali moja ili pia kuwepo na upendo na amani hasa katika kipindi cha uchaguzi, tuondeleeni serikali ya Zanzibar tuendelee kupendana na kuzikana serikali ya zanzibar imetufikisha pabaya hata leo kuna wengine hatuzikani
Mnaitwa hukuuu
 
Sidhani kama kuna anaweza kuleta hoja kwanini Kusiwe na serikali moja zaidi ya kunitusi, hii inadhihirisha ni jinsi gani kutokua na haja ya kuendelea na serikali mbili
Ni wakati wa kua na serikali moja tu
Hivi wananchi hatuoni kero ya kizuizi cha kusafirisha mizigo kutoka huku kwenda huku?!
 
Kabla ya muungano Zanzibar ilikuwa juu kiuchumi kwa sababu ya uwezo aliyeikolonaizi enzi hizo. Hata kabla ya uhuru uchumi wa Tanganyika ulikuwa juu kwa sababu ya Uingereza
unataka kunambia kipindi cha wakoloni ni bora kuliko sasa?!
 
Jamaa nchi tumeizungushia mabati yote kwa ajili ya kuijenga
Mbona hamna jema 😀 mpaka mkamwita Mwinyi Mabati
 
Hili jambo haliwezi kupokelewa na kukubalika na serikali ya zanziba na vyama vyake pinzani sababu wote wanaangalia matumbo yao hawezi kusema nchi sasa iwe moja muungano wa serikali moja tu unahitajika

Mimi sina nyenzo tu ya kuifikisha hii hoja mbali ila asilimia 80 ya Wazanzibar wataielewa hii hoja na wataipokea na wataisukuma itekelezeke
 
Wewe siyo Mzanzibar, labda ni Mzanzibar mkaazi tu.

Zanzibar ni nchi, hawawezi kuiuwa nchi yao, Tanganyika kwanza ijitowe kwenye koti la serikali ya muungano ilimojificha hapo ndipo Wazanzibar watakuelewa.
 
hawawezi kuiacha zanzibar hata wapo tayari kuua watu wote zanzibar solution ni kua nao sio kuburuzwa
 
Back
Top Bottom