Zanzibar strikes again !

kuitaja Tanganyika unatafuta matatizo na CCM ,wale wote mnaotetea kuwa tanganyika ndio pekee inayochangia ,itakuwa mnapingana na Yule waziri mkuu mh.PINDA maana yeye hajui wale wanao izungumzia na kutaja TANGANYIKA wanakusudia nchi gani ,hivyo kusema Tanganyika inachangia mtakuwa mmepoteza dira ,ni bora mkasema CCM ndio inachangia kuliko kusema Tanganyika. maana haipo.
 

Nadhani wakulaumiwa ni sisi wenyewe na ujinga wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…