Zanzibar si NCHI.......Zanzibar ni NCHI

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Mjadala huu umeishiaje ndugu watanzania wenzangu? Nani aliibuka mshindi kati ya timu ya PM Mizengo P. Pinda na ile ya Ali Juma Shamhuna? Mjadala mtamu sana huu. Maalim Seif anzia hapa nasi tuipate Tanganyika yetu
 
Ilishia zanzibar kubadili katiba yake mwaka 2010 kwa kujitangazia zanzibar ni nchi iliyo zungukwa na bahari pamoja na visiwa vyote ambapo kabla ya muungano ikiitwa jamhuri ya watu wa z'br,watanganyika nao wakaamka baada ya kuona kumbe zanzibar ni nchi na wao sasa wanataka kubadili katiba yao ili nayoijitangazie kuwa ni nchi,tusubiri jaji warioba na tume yake ije na matokeo ya maoni,move bado ipo inaendelea.
 

Staa wa picha hili anweza kufa pia
 
Wazanzibari ni moto kwani wakitaka jambo liwe, linakuwa. Mnaotoka upande wa pili wa Muungano vipi na Tanganyika yenu iliyozikwa?
 
Baada ya Zanzibar kuwa huru,tusubiri Unguja na Pemba 2016,picha la kikorea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…