ZANZIBAR: Shehena ya Tani 44 za vyakula na vipodozi vyateketezwa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
13094420_966384070125935_19674846858414333_n.jpg


Bodi ya Vyakula na Vipodozi ya Zanzibar imeteketeza tani 44 za bidhaa mchanganyiko vikiwemo vyakula ambavyo havifai kwa matumizi ya binadamu.

Vyakula hivyo ni pamoja na tani 18 mchele ulioingizwa Visiwani kutoka nje na kubainika kuwa mchele huo ulikuwa haufai kwa matumizi ya binadamu.
 
Back
Top Bottom