Sojawahi ona ngapiHata avater yako unaonekana wa Leo, vipi hapo Kinazi upepo, night club, na hiyo hoteli nyingine ya pembezoni show zinaendelea!? Maana nakumbuka mziki wa Maana ulikua unapigwa kila Alhamisi au j5 kama sikosei, na Vipi Mzee Raza anaendelea kufuga ngamia hapo Paje?
Mbona kimya, ushaghairi?Nataka kutembea pangani, let we talk.
Ungeharamisha moja ulilolitiliashaka, kisha ukaunga mkono unayoyakubali ingekua vyema. We umepinga yote kwanini?Umeongeza sana chumvi, sema kweli japo kuwa chungu. Hiyo ya kuwekewa samaki eti ukimgeuza hupati mke! Wewe ni mgosi wa ndima!!
Umeshinda MKUU!!Hayana ukweli. Huzijui mila, silka, tamaduni wala desturi za Wazanzibari....Faqat. Una la zaidi?!
Makahaba wote wapo mjini siku za madisko ndo wanakuja na mapedeshee wao kijijini huku walugaluga tu
Znz ni hapo tu katkati kuliko basi kote ni vijijini na vijiji hivyo kwamba ndo beach zilipo wenyeji huita shambaKwahiyo wewe upo kijijini au
Au sipo kabisa ungemaliziaKwahiyo wewe upo kijijini au
Nipo mjini, vijijini nafuata kazi tu.Kwahiyo wewe upo kijijini au
Sawasawa, na Kahaba hana mwenyewe, kwenye Madisko ndio chimbo lao, hivyo wanahamahama kufuata mdundo.Znz ni hapo tu katkati kuliko basi kote ni vijijini na vijiji hivyo kwamba ndo beach zilipo wenyeji huita shamba
Aisee, kweli Znz mpya, Ngamia ulizia kwa MZEE Raza alikua anawafuga kama ng'ombe, asubuhi wanapelekwa malishoni jioni wanarudishwa nyumbani. Si zamani ni miaka miwili tu iliyopita ndio niliwaona.Sojawahi ona ngapi
Disco ni jambo na vuvuuzela zingine wanapanda boti kwenda comoroooo usiku usiku skuhizi
Haaaha ngamia na faasi niliwaoa znz zoo tuAisee, kweli Znz mpya, Ngamia ulizia kwa MZEE Raza alikua anawafuga kama ng'ombe, asubuhi wanapelekwa malishoni jioni wanarudishwa nyumbani. Si zamani ni miaka miwili tu iliyopita ndio niliwaona.
Kwasababu ya Giza!?Akili za usiku hizi. Hata sijasoma
Nadhani nawewe niwamjini, Paje na Bwejuu unafuata Disco tu!!Haaaha ngamia na faasi niliwaoa znz zoo tu
hakuna shida, uko Wapi MKUU?