Zanzibar: Rais Mwinyi ateua DPP mpya

Zanzibar: Rais Mwinyi ateua DPP mpya

Miaka mitano ikiisha, Kila mkazi wa Zanzibar atakuwa kapata uteuzi, nchi Ina watu wasiozidi milioni, lakini Kila siku kina mtu anateuliwa, huyu anafukuzwa
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Rais wa Zanzibar , Dr Hussein Mwinyi amemteua Mgeni Jalan Jecha kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Bado haijafahamika Uhusiano wa Jecha huyu na yule aliyeharibu uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 .

Unautaka uhusiano wao? Ili iweje? Kwa akili yako nadhani hata ukiambiwa huyu ni Dewji, basi utasema ni ndugu yaje na Mohamed Dewji wa MeTl
 
Back
Top Bottom