Zanzibar: Rais Dk. Shein awaonya watendaji wake wanaoutafuta Urais

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Nilikuwa naangalia ITV Taarifa ya habari.

Rais wa Zanzibar Dk Ally Mohamed Shein amewaonya watendaje wake kuacha kuutumia muda huu kuutafuta Urais na yeyote atakayethubutu kufanya hivyo atakatwa!

IMG_20180507_203704.jpg

My yake:

Ina maana watu wameshaanza movements za 2020?

Huku Bara mbona pako shwari sana.
 
Zanzibar watu wamekufa kisaikolojia kwa siasa, saivi wanaumizana wenyewe kwa wenyewe Ccm kwa kuutaka urais wa Zanzibar

Wengine wameshaanza kuleta mikungu ya ndizi bara kwa viongozi ili kujipendekeza.
 
Nilikuwa naangalia ITV Taarifa ya habari.

Rais wa Zanzibar Dk Ally Mohamed Shein amewaonya watendaje wake kuacha kuutumia muda huu kuutafuta Urais na yeyote atakayethubutu kufanya hivyo atakatwa!

View attachment 769548

My yake:

Ina maana watu wameshaanza movements za 2020?

Huku Bara mbona pako shwari sana.

Kwani si mpaka Mkoloni Bwana achague mwari gani anayemfaa kwenye haja zake?? Huyo Shein si anabweka tu , kibaraka wa Dodoma
 
Huyo aliyeleta jeshi kuvamia na kumlazimisha Jecha kufuta matokeo halali ya uchaguzi na kumweka kibaraka wake Shein
Kumbe ukoloni bado upo!
Lakini itakuwa wana mwenyeji wao hapa la si hivyo ingekuwa kesi ishafika U.N....

Na huyo mkoloni hapo anang'ang'ania nini?
Mbona hao watawaliwa wamejaa huko kwa mtawala?....

.......unafiki huwa unatokota....sikuzote!
 
Mkoloni anapigania kuondoa khulka za kiislamu kama alivyofanikiwa kuziondosha huko Tanganyika , haya utayapata ukisoma kitabu cha Padri wa kanisa Katoliki anayeitwa Sivallon

Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985. kilichochapishwa na shirika la Kanisa Katoliki la wa-Benediktini, Ndanda
 
Jumuia za kimataifa zielewe kuwa kundi yale maandamano yalivyozimwa ndivyo itakavyokuwa katika uchaguzi wa 2020
 
Back
Top Bottom