manushichini
Member
- Jun 28, 2012
- 26
- 13
Lakini tusisahau visasi vya kimapenzi, labda jamaa ( paroko ) alikua akiiba mke wa mwenyewe ( muuwaji )
Alazwe mahali pema.....kisa cha kuuawa ni nini?
mkuu nimetoka kanisani tumetangaziwa amepigwa risas leo asubuhi..uvumilivu unamipaka,.hawa jamaa wanatuchukulia poa sana..imefika muda na sisi ku-revange..liwalo na liweTunasubiri Tamko la viongozi wakuu wa dini hususani kardinali Pengo na rais wa baraza la maaskofu Tarsius Ngalalekumtwa mkichelewa sisi tunaenda kufa mashahidi tumechoka tena tumechoka sana!
Kiini kina julikana bana labda watake kupoteza muda tu na pesa zetu...
kweli kwa hali hii naona hii ni hatari. maneno yaliyopo kwenye video hizi ni uchochezi uliopindukia. Na pale naon akuna vijana wengi wapo wanatikisa vichwa kukubaliana naye anaposema watu washike bunduki wapigane. halafu huyu Ilunga anamtumia huyo shehe Rogo wa Mombasa kama ndiyo reference. hata simsikii akisema mtume Mohammed alisema tufanye hivi, yeye anakazania "...Shehe Rogo amesema tukamate bunduki..." Kwa hiyo huyu shehe leo kawa ndio mungu waislamu wote wafuate mawazo yake hasa ya kushika bunduki, (AK47 na nyinginezo) kutetea dini? Yawezekana ndiyo waumini wanaanza kutekeleza maagizo yake sasa. Mungu atusaidie kila mtu apate ufahamu japo kidogo tu.Hii ni hatari sana, siku wakristo nao wakatoa maneno kama hayooooo, sijui kama kutakuwa na amani tena, ......sehemu yeyeote ukitaka anamni jengenei utamaduni wa kuvumiliana....mfano mwananke mwenye akili, mume akirudi na mimaneno mingi, hutakiwi kujibu, atalala na kesho yeke umtayamaliza kwa amani
tatizo tuko wachache!
Hivi nyie Wakiristo mtu hakiwa
Muislam ni gaidi basi siku Dr Slaa akichukuwa nchi mtuchinje wote
mbakie peke yenu Wakirsto watupu.
Anzisha! kweli ww kichwa maji,unataka waanzishe wenzio?acha uchochez, tofauti yako na Ilunga ipo wp?Pimbi wwHawa ndugu zetu waislam kweli wanamatatizo sana,sioni wala sijawahi soma mahali popote katika vitabu vitakatifu vilivyoandikwa kwamba lazima kupigana kufa na kupona kwa ajili ya kuzuia dini ingine isiendelee,huu ni upuuzi na hii damu itawarudia na nataka kuwahakikishia anayeua kwa upanga atauwawa hivyo hivyo,this is the second case kwa mapadre,mmoja alipigwa risasi amepona hadi leo hakuna aliyekamatwa kwa kuhusika,leo ameuwawa it will be the same thing,nadhani muda umefika sasa kwa wakristu jamani tujibu mashambulizi!!!!!!!!!tutakuwa victim wa hii serikali ya kidhalimu ya CCM/Kiislamu hadi lini?we need to look back and decide,enough is enough!!!!!!!!!!
R.I.P Fr.Mushi
Amen
Du kwel wewe mchochezi! unatumia makalio kufkri eeWaislamu wa ukweli wenye imani thabiti wanaua makafiri na pepo ipo juu yao.Waislamu wenye imani haba wanawasihi makafiri kuishi kwa upendo na umoja na jehanam ipo juu yao.Wakristo wa ukweli watasimamia neno la Mungu Yoh 16:1-4.Roho mtakatifu awaongoze katika kutokomeza hali hii.Amen