Zanzibar ni Non secular state?


Sasa Mzanzibar amfokee au ampangie maisha mzungu kutoka ulaya kwa nini? anampangia Mtanganyika kwa kuwa ni ndugu yake. Anamfunza ustaarabu wa kuheshim utamaduni.
 
Dini hii ililetwa na majahazi na sio utamaduni wa Zanzibar kasome kitabu cha decolonization the Mind cha Ngugi was Thiongo.
 
Si kweli ndugu.hakuna anaelazimishwa kufunga,wengi hawafungi sababu jambo la kufunga linatokana na imani.
Kinachopiganiwa zanzibar ni kuipata swaumu iliyo sahihi na ili ipatikane funga iliyo sawa ni lazima kukabiliana na yenye kufunguza.nafsi ya mwanadam imeumbwa na matamanio hivyo kula hadharani kutaathiri funga za waliofunga,kutazama Dada zetu wasiojistiri vema maungo yao itaathiri funga.
Kwa mazingira ya Tanganyika hasa dar na miji mingine mikubwa kufunga kwa usahihi ni jambo gumu sana sababu ya mazingira yenye kufunguza kuwepo bila kukemewa kutokana na uwiano wa dini hizi mbili kuwa sawa.

Kufunga si kujizulia kula na kunywa.
Pale mwezi wa ramadhani wote ni lazima mfunge ole wako uende kinyume
 
Umpige mtalii ..wakati uchumi wao unategemea hilo?
Serikali haikuachii..
Lakini..si msiende kipindi hiki?
Waacheni na tamaduni zao bwana!
Bara kuna makabila na mila zao...kule dini ni kama mila yao hakuna makabila..
Waacheni...
Kwanza hata huo utalii wananchi ni hawautaki unachangia sana kuiharibu znz...maana inaleta watu wa ajabu ajabu na tabia za kwao huko..
 
Kama funga yako inatoka rohoni utashindwaje kustahimili vishawishi.Kwasababu kutamani sio lazima iwe chakula au wanawake.Kwaiyo ukiona umefunga alafu hutaki kuona vitakavyojaribu imani yako hapo itakua umeshinda njaa.
 
Mkuu hiyo ipo kotekote sehemu yeyote yenye idadi kubwa ya waumini wa imani fulani lazima hiyo imani iwe na athari kwenye hiyo jamii.
 
Acha upuuzi hoji Vitu Vya Msingi
 
Ilibidi vitu vyote. Sheria ,katiba n.k za tanganyika zitumike hadi zanzibar.mtu ukitoka bara kwenda znz unaishi kwa shida utafikiri znz sio tanzania,au vinginevyo watuambie znz ni nchi kamili haipo tanzania.
Ndio unaambiwa kwa vitendo sio kwa maneno. Ukiambiwa kwa maneno si unaleta majibizano, sasa unaambiwa kwa vitendo
 

Kwa hiyo unataka kusema wakiwa wengi au wachache watataka kutambuliwa tuuu...
Mfano wakienda Vatican leo watahitaji kutengewa eneo lao la kuabudia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…