Iko wazi hiyooo hawawez kukubali Wadini Sana haoWakuu heshima yenu awali ya yote ni mshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo sifa na heshima zimuendee yeye pekee, baada ya kusema hayo ningependa kujua kama sehemu hii ya jamhuri tukufu ya Tanzania inaongozwa au unajiendesha kwa misingi ya dini nimeuliza hivi mana kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia jinsi shughuli za serikali ya mapinduzi na hata taasisi zake zinavojiendesha mfano ukiangalia zbc na zbc2 kuna vipindi vya dini ya upande mmoja tu na airtime yake ni ya kutosha je hao wakristo hawaruhusiwi kupeleka vipindi au imekaaje? Mnyazi Mungu awabarikini nyote
we mwenyeo pia mdini!! acha kujihashua hapaIko wazi hiyooo hawawez kukubali Wadini Sana hao
Acha wapumue.. mambo ya siasa tu yamewafika katika kooWakuu heshima yenu awali ya yote ni mshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo sifa na heshima zimuendee yeye pekee, baada ya kusema hayo ningependa kujua kama sehemu hii ya jamhuri tukufu ya Tanzania inaongozwa au unajiendesha kwa misingi ya dini nimeuliza hivi mana kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia jinsi shughuli za serikali ya mapinduzi na hata taasisi zake zinavojiendesha mfano ukiangalia zbc na zbc2 kuna vipindi vya dini ya upande mmoja tu na airtime yake ni ya kutosha je hao wakristo hawaruhusiwi kupeleka vipindi au imekaaje? Mnyazi Mungu awabarikini nyote
Wewe hujapona STRESS zako ? bado waongeza stress kwa chuki zako.... Nchi ni nchi yao dini , dini yao ..wafanye watakavo!!Iko wazi hiyooo hawawez kukubali Wadini Sana hao
Makanisa kama Anglican, Lutheran na Catholic wamekuwa wakirusha ibada zilizorekodiwa katika ZBC....Wakuu heshima yenu awali ya yote ni mshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo sifa na heshima zimuendee yeye pekee, baada ya kusema hayo ningependa kujua kama sehemu hii ya jamhuri tukufu ya Tanzania inaongozwa au unajiendesha kwa misingi ya dini nimeuliza hivi mana kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia jinsi shughuli za serikali ya mapinduzi na hata taasisi zake zinavojiendesha mfano ukiangalia zbc na zbc2 kuna vipindi vya dini ya upande mmoja tu na airtime yake ni ya kutosha je hao wakristo hawaruhusiwi kupeleka vipindi au imekaaje? Mnyazi Mungu awabarikini nyote
Hivi nyinyi kwanini neno haki hamtaki kulitumia, kazi kuwalaumu waislamu tu..ebu tendeni haki kama ntaona waislamu wanapiga kelele kama ulivyodaiWaislam wakiwa asilimia 30 kwenye nchi yoyote lazima wapige kelele, itakuwa Zanzibar ya Waislam 99%??, hata hivyo sioni tatizo Zanzibar kuigeuza kuwa nchi ya kidini, watajuana wenyewe
Mimi sio mzanzibari siwezi kuwajibia sababu Zanzibar ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya zanzibar ya 2010 nisije ingilia mambo ya ndani ya nchi ya watu nikavunja katiba ya Muungano ambayo maswala ya Dini SI MAMBO YA muungno tuliyokubaliana kama ilivyo kwenye Uchaguzi wa Raisi wa Zanzibar ambao si jambo la muungano.
Wazanzibari jibuni hilo swali linahusu nchi yenu.
Wakuu heshima yenu awali ya yote ni mshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo sifa na heshima zimuendee yeye pekee, baada ya kusema hayo ningependa kujua kama sehemu hii ya jamhuri tukufu ya Tanzania inaongozwa au unajiendesha kwa misingi ya dini .
Nimeuliza hivi mana kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia jinsi shughuli za serikali ya mapinduzi na hata taasisi zake zinavojiendesha mfano ukiangalia ZBC na ZBC2 kuna vipindi vya dini ya upande mmoja tu na airtime yake ni ya kutosha je hao wakristo hawaruhusiwi kupeleka vipindi au imekaaje? Mnyazi Mungu awabarikini nyote