Zanzibar mpaka kieleweke! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar mpaka kieleweke!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ZIGZAG, Jun 3, 2012.

 1. Z

  ZIGZAG Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba waznz muungane kwa nguvu zote, yawepo machapisho ya fulana kuzidi kuweka mshishitizo. na inawezekana bila ya kumwagika damu. mungu ibariki "JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR."
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,897
  Trophy Points: 280
  endeleeni tu but iyo dhambi tawamaliza tu ninyi wenyewe.................
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Si uende mwenyewe ukaweke msisitizo, mbona unaongelea Jf? una uhakika kuna wazenji wa uamsho humu ndani?.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 4. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Kudai nchi yao siyo dhambi, daini ila si kwa kuiba na kuchoma moto makanisa!
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,897
  Trophy Points: 280
  hiyo dhambi ya kuchoma makanisa itawamaliza tu, ila kama serikali imekataa si waishtaki mahakamani? ikishindikana waende mahakama ya kimataifa kuliko kuchoma makanisa na kupiga watu?
   
 6. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jama ni kwani lazima kuungana! mbona ninyi machogo mwatung'ang'ania sana! mtuuache siye wazenj na kanchi ketu! kwani mapori yote huko tanganyika yamekwisha! geuzeni mikumi muuite znz kama jina ndo tatizo! znz hata yemen ipo! mwaweza ita mikumi na ninyi machogo!
   
 7. a

  adolay JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Wanachodai ni zanzibar, wakiipata wapemba wataidai pemba yao, wakiipata pemba halaf watagawanyika weee .........

  Umeona dalili juzi hapa vipepelushi vya wao kwa wao kubaguana (wapemba waondoke unguja)

  Yote yatapita lakini majuto ni mjukuu.

  Mimi si muumini wa muungano lakini pia nachukizwa sana na ubaguzi wa aina yoyote ile, rangi, kabila, dini, inchi nk kwasababu mdudu ubaguzi anasum mbaya ya maangamizi zaidi ya UKIMWI mfano, mauwaji ya kimbali inchi Rwanda- watusi na wahutu, Palestina na israel-chuki za udini nk

  Kazanen wazanzibar lakini zambi hii hakika itawaangamiza.
   
 8. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umejuaje kuwa pemba wataidai pemba yao! wapiga lamli weye siyo! kazi ya she yahaya ulirisishwa weye siyo! Yani badali ya kuja na sababu inayooonekana mwaja na sababu ya babu enu Nyenyere kuwa nje ya limuungano hili eti wapemba wadaidai pemba yao?? hamuijui historia ninyi machogo ndo maana mlikubali tanganyika yenu kuzikwa hapo mlipo hamna historia wala utaifa! waliwa tuu! ndo maana huko kuna mafisadi huku znz hakuna !! machogo ninyi!
   
 9. a

  adolay JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Borakufa.

  hakika hata jina lako japo ni identity tu linawalakin BORA KUFA kwanini ufee!!!!!

  - Walopepelusha vipeperushi vya WAPEMBA WAONDOKE unguja juzi walikuwa watanganyika eti eee.

  - CuF inanguvu zaidi eneo lipi hapo zanzibar? kama unakumbuka yashimoni kenya na focus yako nini au predctions zako ni zipi.

  - Sihitaji kukufundisha historia ya kwanin hayati Amani Abeid karume aliingia kwenye muungano soma kidogo historia utafahamu, na wewe waweza juwa nini matokeo ya zanzibar ikijitenga. Utabisha na kukanusha kwasababu ni jadi yenu lakini paliponaukweli uwongo utajitenga hii haina mjadala.

  Uzembe wa CCM na mafisadi huku tanganyika. Hebu tuchukue mfano mdogo, Nahoza, Hussen mwinyi, Ghalibu bilal na wengine wengi tu, wametokea zenji sawa mkuu, wapo hapo juu katika serikali ya muungano kama watawala wameshiriki vipi kuutokomeza huo ufisadi kwanza ndani ya CCM bara na visiwani na pili huku tanganyika kama ulivodai?

  Nataka ujenge hoja, sio matusi. usipaniki mkuu wangu, kwani wewe ukinywa sumu hujui matokeo yake?? inahitaji unajimu hapo shekhe, kujuwa matokeo ya kunywa sumu ni kifo?
   
 10. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,316
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  vunjeni nishapata nyumba ya mpemba hapa
   
 12. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  mkuu uko sahihi sana, nyie wazanzibar ni wabaguzi sana, mimi nimesomea zanzibar mlikuwa mkitubagua wabara japo hatukuonyesha kuwajali, ata madukani wabarara tuna bei zetu ilo hamuwezi kulipinga, japo tuliwatumia baadhi ya wazanzibar waelewa kutufanyia shopping
  mnadai wabara waondoke kwenu hivi zanzibar mna ardhi ya kutosha ata kutuonesha kuwa tumewavamia, tuvamie nini ardhi yenyewe imejaa mawe, nasi tukiingiwa na wazimu kama huo wenu ulowapanda na tukawatoa mbio uku bara uko patatosha kweli?? Acheni wazimu nyie madogo!!
  Nawaakikishia mkivunja tu muungano hakuna cha msalia mtume lazima mtaondoka bara dah siku iyo mtajuta maana wapemba wamejaa mpaka ngara, kibondo, misenyi nk wote mtarudi kwenu zanzibar
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,578
  Trophy Points: 280
  Hizo ni chochoko tuu kama za mke anazoleta mara apatapo bwana!. Lengo la chokochoko hizo ni kudai talaka!. Sasa kwa taarifa tuu tuu talaka hatutoi na mke atash├Čkishwa adabu mpaka atulie mwenyewe na asipo tulia atatulizwa tuu!.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,790
  Likes Received: 83,164
  Trophy Points: 280
  Hili hata mimi linanishangaza sana. Ugomvi wao ni kuhusu Muungano na kanisa halihusiki hata chembe na Muungano wa Z'bar na Tanganyika sasa sijui kwa nini wasichome ofisi za Serikali na magari ya Serikali badala ya kuchoma makanisa na magari ya waumini.
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hivi wazenji mna akili finyu sana, hivi nani kawaambia kwamba ss wabara mnaotuita machongo kwamba tutaachia mafuta na gas yenu ya zenji? Nyie zenji msijidanganye bali tumieni fursa ya katiba mpya juu ya kuboresha ndoa yetu na sio kuachana.
  "KIlICHOUNGANISHWA NA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE"
  "PIA NDOA NI LAZIMA IHESHIMIWE NA WATU WOTE MAANA ZENJI NI MKE MWEMA AMBAYE KATOKA KWA BWANA KWA AJILI YA WABARA"
   
 16. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa uoga wa karume wakati ule ili zanzibar yetu isirejewe na sultan alikimbilia muungano sawa kaka! sasa hivi kuna woga gani tena? Hivi mwaona ipo haja ya ninyi kutupangia rais wetu kila baada ya miaka 5! Baada ya karume! Jumbe mlimwondoa kwa hila mkatuekea Idrisa mkamtisha akakataa kuomba kipindi cha pili! mkatuwekea mwinyi ki mtindo ili mtuhadae kwa kumfanya rais wa muungano! baadae mkatuletea komando, Kisha karume sasa Shein! Tunasema hawa mbali na Karume wa mwanzo ni marais mliyotulazimishia sababu walikubaliana na matakwa yenu.
   
 17. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,316
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  NYIE PONO ALIYEWALOGA NANI?? OMBA KWA YESU UPATE JIBU USIJE HUMU JF NA KUTUKANA

  1) And Jesus answered and said to them, "Truly I say to you, if you have faith and do not doubt, you will not only do what was done to the fig tree, but even if you say to this mountain, `Be taken up and cast into the sea,' it will happen. "And all things you ask in prayer, believing, you will receive." (Matthew 21:21-22 NAS)

  2) Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. For everyone who asks, receives; and the one who seeks, finds; and to the one who knocks, the door will be opened. (Matthew 7:7-8 NAB)

  3) Again I say to you, that if two of you agree on earth about anything that they may ask, it shall be done for them by My Father who is in heaven. For where two or three have gathered together in My name, I am there in their midst. (Matthew 18:19-20 NAS)

  4) Amen, I say to you, whoever says to this mountain, 'Be lifted up and thrown into the sea,' and does not doubt in his heart but believes that what he says will happen, it shall be done for him. Therefore I tell you, all that you ask for in prayer, believe that you will receive it and it shall be yours. (Mark 11:24-25 NAB)

  5) And I tell you, ask and you will receive; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. For everyone who asks, receives; and the one who seeks, finds; and to the one who knocks, the door will be opened. (Luke 11:9-13 NAB)

  6) And whatever you ask in my name, I will do, so that the Father may be glorified in the Son. If you ask anything of me in my name, I will do it. (John 14:13-14 NAB)

  7) If you remain in me and my words remain in you, ask for whatever you want and it will be done for you. (John 15:7 NAB)

  8) It was not you who chose me, but I who chose you and appointed you to go and bear fruit that will remain, so that whatever you ask the Father in my name he may give you. (John 15:16 NAB)

  9) On that day you will not question me about anything. Amen, amen, I say to you, whatever you ask the Father in my name he will give you. Until now you have not asked anything in my name; ask and you will receive, so that your joy may be complete. (John 16:23-24 NAB)
   
 18. s

  saliha Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nyie mnaotaka zanzibar yenu ya jamhuri hamuelewi chochote mnafuata mkumbo mtakuja kulia machozi ya damu wakati mnataka bara mliokuwa mnaibeza haipo tena ,nyie ndugu zetu wa zanzibar na hasa wa pemba mnaokwenda kununua michele madibira na kilombero bila ya vibali vya export mmtajijua na wengi wenu mmetokea pemba,wale wanouza juice za ukwaju tunduma mpakani itabidi mnunue cheti cha ukaazi tena kwa muda maalum,wale mliofika kwenye migodi kwa mfano tunduru na hata shinyanga nimewakuta ndugu zangu huko kwenye machimbo mnaosafirisha vito kwa magendo na kuwa mamilionea pia njia hiyo itafungwa rasmi mtakuwa wakimbizi kama walivyo wa ethiopia wakikamatwa mikoani na kurudishwa makwao ,kuna wanao nunua mbatata na mboga hadi nyama kuleta sokoni mjini zanzibar tuna wajua pia itabidi vitu vyote hivyo mvinunue kwa kulipia kodi na pengine fedha za kigeni .mna sema eti hamjali soko la bara niambieni hao watu wenu milloni 2 watawezaje kuwasoko kubwa .mawazo yenu ni ujuha wa wazi na kuna muelekeo ule ule wakutaka kurudisha utawala wa kibwanyenye tuliouondoa kwa nguvu .bado kuna watu wanaodhani wao ni bora kuliko watu wenye asili ya bara.mkiendelea na kauli zenu mtawaamsha waliolala na kuanza kutizamana kwa macho ya uhasidi .ndugu zangu tayari mnao ukiritimba wa biashara zanzibar yote mmeimiliki nyie na hao wa shenzi mnaowaita wa bara ndio wateja wenu wakubwa sasa tuachieni tukamate siasa kwani ndio haki yetu .serikali isiogope referendum wanayotaka hili jambo tutaliamua kwa mara ya mwisho .udumu muungano ingawa unataka urekebishwe vizuri tu lakini udumu.
   
 19. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wapeni uhuru na haki ya kujiamulia mambo yao na maisha yao wenyewe, siyo kukaa kila wakati mnawatisha "majuto mjukuu".
   
 20. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kumbe hujui kwamba chochote baraza la wawakilishi litakachopitisha lazime kwanza serikali ya muungano ilidhie! sasa tumechoka baraza letu la mapinduzi kufanywa kama baraza la madiwani na wilaya ya kinondoni sawa chogo! tunataka tutakachoamu sisi wazanzibar hakuna wa kuhoji ili mradi ni kwa manufaa yetu.
   
Loading...