Zanzibar mkao wa kula

Huu ndio ukweli Tanganyika inaitawala kwa mabavu Zanzibar tokea 1964 ilipoivamia na kumkamata waziri mkuu wake muhammed Shamte pamoja na baraza la mawaziri na kufungwa kwenye jela za tanganyika kabla ya huo uitwao muungano hata haujafikiriwa.

Wenye ubavu na waje na propaganda zao wanipinge

masheikh waliohoji muungano , wamepakaziwa kesi za ugaidi na tunaona wanapigwa dana dana.

hili ndilo lengo la uvamizi kuvifanya visiwa hivi masikini , maendeleo makubwa yaliyofanywa na huu uvamizi ni kufungua baa kila mtaa , kujaza unga , vijana waharibike , kueneza makanisa kama uyoga yasiyo na watu , umalaya na kila uchafu.
Mungu wabariki Wazanzibar
 
Back
Top Bottom