Swala ni Visu/Mapanga, na hivyo vyote kiuusalama ni hatari,maana hizo ni silahaa siyo vizuri kutembea navyo Mujini,vitu vya huko porini vibaki huko huko porini!! Mjini ustaarabu kwanza!!Eheee, mwishowe watawaambia wavae chupi/ boxer na wao wamezoea kuning'niza mizuzu wao nje nje!!
Anawinda Simba Mjini huyo! Hahaahaa!!
Mtu saa saba mchana jua kali anatembea na rungu na sime mjini kabisa vya nini?
Weeee Mmasai agongwe! Thubutuuuu!! Wanaogongwa wengi ni watu wa Pwani na hukohuko kwenu visiwani.Usitake tuseme mengi Wamasai wanagongwa na wataliana km hawana akili vizur wanataka wakajenge umasaini na kuendesha magari MAZUR
Kwa hiyo zile silaha zinawafanya kuwapiga watu bila sababu au mpaka uwachokoze? Uliwahi kuwashuhidia wakiwapiga wati ovyo bila sababu yoyote?Unadhani yale wanatembea nayo ni mapambo? Kweli ni mara chache hufanya vurugu lakini zile ni silaha kama silaha zingine.
Sawa afande rama kwenye upande wa maaskofu hata huko zenji wapo kwaiyo wanawabariki tuNini maafande nyinyi mpka maaskofu wanabariki
Kwaiyo utaka kusema afande rama alikuwa mmasai maana aliliwa mubasharaUsitake tuseme mengi Wamasai wanagongwa na wataliana km hawana akili vizur wanataka wakajenge umasaini na kuendesha magari MAZUR
Hata wapemba wanaolala sehemu za wazi wapo na sehemu zizosifika kwa uchafu na ugonjwa wa kipindupindu Dar ni zile ambazo wapemba wamejazanaSasa kama wapemba wanajenga majumba na biashara nyinyi mna ishi katika majumba mabovu mnala sehemu za wazi au mnakodi chumba watu ishirini yaani watanganyika tumewachoka yaani mnaishi km mpo karne ya 17?
Hatuwez kuvumilia hili
Hhhhhhhhhh mmsai ? Huyu anouza ugoro na kunuka kama ngombe au?
Acha ubaguzi kumfananisha mwanadamu mwenzake na ngombe
Unaifananisha urembo wa usoni na silaha za kijadi (sime)? Kuna mnyama gani katikati ya majiji?Ni utamaduni wao huo kama wewe unavyojipaka rangi usoni na kutembea mitaani hizo rangi zinakusaidia nini?