kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,126
- 24,421
Wakati sisi tunalia mafuta kupanda huko nchini ZANZIBAR mafuta hayajawahi kupanda kabisa na yapo chini sana
Sisi huku Tanganyika wacha tufwe tu madhali sisi ni Watanganyika
ZANZIBAR SMZ huwa hawalipagi hata hela ya Tanesco wanapata umeme tu
Wamesamehewa zaidi bilioni 120 ya deni la umeme kwa kipindi cha miaka 8
Wakati mtanganyika ananua umeme wa 1000 anapewa units 2.9 wenzetu wananunua umeme wa 1000 wanapewa kuanzia unit 4 na kuendelea hadi 6 huko
Wacha tuangamie tu maana sisi ni watanganyika tumekubali kubeba msalaba huu na mzigo mzigo!!