Ni bora ya lusinde kuliko ya hawa ccm maana maneno mengne sikuyaweka kwenye jamvi ni aibu na kashfa kwenda mbele
lini mtajipatia uhuru wa kinchi chenu? Mshatuchosha
Ni bora ya lusinde kuliko ya hawa ccm maana maneno mengne sikuyaweka kwenye jamvi ni aibu na kashfa kwenda mbele
nasema namuomba DK Shein na kikwete atahadhari na watu watatu hawa waliomo ndani ya CCM ambao ni Eddy Riyami Mohammed Hashim na Mansoor Yussuf Himid nilisema ikifika wakati tutawawataja na huyu mmoja alichukuliwa Eddy Riyamy kufundishwa mambo ya idara ya uslama lakini mwisho akaasi nasema mwarabu na mambo haya ya CCM wapi na wapi watu weusi wapi kwa nini mnawachukua hawa?
hujaelewa nini hapo......Sijaelewa, anasema Seif ANAKAZWA?!!?!? nielewesheni hapo tu!
nakwambieni kitu kimoja wao wanachokiona kibaya ni kulewa tu........ wanalawitiana wana janaba..........anasema yule Jussa hata mtoto wa kusingiziwa hana mimi nina wasiwasi huo sasa kwa njia hiyo kama mtu mzima hata mtoto wa kusingiwa basi nathibitisha kuwa hawa wote wanakazwa.......Sijaelewa, anasema Seif ANAKAZWA?!!?!? nielewesheni hapo tu!
HAWANA ADABU HAWA CCM, WANAONGOZA KWA MATUSI, IVI SEIF C NI MAKAMU WA RAISI? AU NDO CEREMONIAL POST IZI? KUMDHIAKI MAKAMU TENA WA KWANZA WA RAISI NI KUWATUKANA WAZANZIBAR WOTE, NADHAN SERIKAL YA UMOJA WA KITAIFA KWA NIABA YA MAALIM SEIF LAZIMA ICHUKUE HATUA DHIDI YA AWA SJUI AKINA BORAFYA, UYU LAZIMA NI MWENDAWAZIMu PAMOJA ALOKUWA AKIWAHUTUBIA, OTHERWISE ZBA NI NCHI YA MASIALA MATUPU.
kwa hiyo ni kweli hayo maneno yamesemwa jukwaani???????????? Toba, ZNZ ni kuna jambo!!! njeya muungano, kuna mapinduzi na untmapinduzi
Hata hivyo hii ndio CCM ambayo CUF mmekuwa mnawasaidia hasa huku bara kujaribu kuua upinzani. Sasa wamewageuka. Sasa mjifunze na muwe wapinzani wa kweli sio waroho wa madaraka kuungana na CCM. CCM wanapaswa waondoke sio kuungana nao kutawala nchi. Nadhani sasa mmejifunza!
Mkuu hilo ni vazi la taifa la zanzibar. Barghashia, kanzu, koti na kubadhi (sandals)Huyu shein anavaa sandals kwenye events za kitaifa kweli?hawa jamaa mbona mazezeta sana hawa