salmar
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 799
- 363
Katibu wa vijana wa CCM Mkoa anaitwa jukwaani
Katibu wa vijana anasema nimekuja kusema ukweli na kubadilisha ule uongo uliosemwa na Mpemba mwenzangu jana, jana alisimama mwenzangu wa huko huko lakini tunasema uongozo wa Mpemba hubatilishwa na ukweli wa Mpemba mimi nshangaa sana katibu mkuu mzima wa CUF nataka aalikwe katika kikao cha CCM kikao chetu tumualike heee mbona hatualiki yeye kwa mkeweeee CCM Oyeee mke wake kamuoe yeye anatakiwa ale yeye sasa kikao chetu kinamkhusu nini?
Ndugu zangu kuwa na ndevu nimeamini kuwa sio ushekhe lakini kuwa na ndevu sio utu uzima maana kama ingekuwa na ndevu sheikh mbuzi angekuwa imamu….lakini jana nilisikitika sana mtu ambaye kaapa kwa msahafu na dini yake ya kiislamu jana kenda kinyume na kiapo cha msahafu kwa kumsema rais wake eti anasema sikuwa na nia hiyo lakini nimethubutu sawasawa…wewe kusema viongozi wako umezowea kama mna kumbukumbu ..maluuni huyu huyu kamsema Aboud Jumbe….maluuni huyu huyu kamsema Dk Salmin …na maluuni huyu huyu kamwita Amani Karume chaijaba wewe umezowea huyo Amani Karume umejuana naye juzi kuitwa ikulu ukapewa maji …mimi nshangaaa huyu jamaa anakazwa nini? ……vigeregere CCM Oyeeee
…anasema yule Jussa hata mtoto wa kusingiziwa hana mimi nina wasiwasi huo sasa kwa njia hiyo kama mtu mzima hata mtoto wa kusingiwa basi nathibitisha kuwa hawa wote wanakazwa…..(samahanini hayo ni matusi) Maalim Seif fedhuli mkubwa na muongo mkubwa alisema vurugu zinafanywa na janjaweed anasema kuwa anashangazwa na polisi kuwa kamishna anafanya uchunguzi wa kitaalamu ndio ni kweli wanafanya uchunguzi wa kitaaalamu kwani Uamsho wanafanya vurugu kila mmoja anajua hata kama umezaliwa leo
….Maalim anasema kuwa vurugu zimefanywa na mbwa mwitu au janjaweed sasa kama mbwa mwitu wanakamatwa wewe unatetea nini au mbwa wenzio? maana unatutia wasiwasi ….vurugu zinafanywa na mbwa mwitu na wanafuatwa majumbani mwao wewe unakasirikia nini sijui magomeni…sijui bububu….sasa si anakamatwa mbwa tena polisi aende baharini badala ya majumbani wanapokaa hao mbwa. Seif Sharif anasema janjaweed walipokwenda kuchoma moto kisonge …ndugu zangu muda hatuna niacheni nikamue ….kisonge ilipochomwa eti Seif anasema imechomwa na kenta kwa kutumia kenta sasa anataka tumepe yeye? tunawaambia fujo hizi zimefanywa na Uamsho zinazofanyika wanadhuru maskani za CCM na baaa lakini magesti wanayawacha ndio maana nina wasiwasi kuwa hawa wanashughulikiwa
…Maalim Seif anasema kuna vijana wanaotumiwa katika vurugu mimi katibu wa vijana ninamwambia pale hatuna vijana wa janjaweed na tunalinda na atakayejaribu kuja kutuchezea atakiona lakini zile silaha wanazotuharibia silaha zetu na barabara zetu? tunachowaambia karibuni sana mje kutuhujumu pale mwisho nasema namuomba DK Shein na kikwete atahadhari na watu watatu hawa waliomo ndani ya CCM ambao ni Eddy Riyami Mohammed Hashim na Mansoor Yussuf Himid nilisema ikifika wakati tutawawataja na huyu mmoja alichukuliwa Eddy Riyamy kufundishwa mambo ya idara ya uslama lakini mwisho akaasi nasema mwarabu na mambo haya ya CCM wapi na wapi watu weusi wapi kwa nini mnawachukua hawa? Dk Shein watu wapo vijana imara wachague sio mnawachukua hawa na tunasema wachaguliwe na hapa hakutakuwa na Uamsho wala nini ..tunasema kikundi cha Uamsho kifutwe mara moja na la si hivyo haya mtatufanya na sisi tuingie uwanjani
..................
anasema wengine wanasura za kibinadamu lakini ni wandawazimu na zanzibar tunaipeleka kubaya kwa tamaa zetu na ubinafsi wetu…halana kuiharibu zanzibar hapana kuiharibu nchi, hii ni nchi ya kimapinduzi na itaendelea kimapindui haya ni ya mpito lakini wana mapinduzi wenyewe wapo na wakiamua watakamata wenyewe madaraka yao …CCM Oyeeee.. Tanzania inapita katika mambo makubwa na tunaelekea katika 2015 Tanzania inahiji kuwa na katiba mpya laini zimeingia taasisi na makundi yenye kukataza watu, mchakato wa katiba ni mpango wa watu wengi wamekuja hawa watu hawaelewi kitu na wanawalaghai watu wansema wanataka nchi yao ..hivi nchi yao ni ipo na nchi yao anayo nani?
..................
Zamu ya King Borafya Silima ambaye ni mgeni rasmi katika shughuli ya leo na sasa hivi ndio anapanda jukwaani anaanza na shukrani CCM Oyeeeee..kidumu chama cha mapinduzi….mapinduzi daimaaaaa muungano oyeeeee oyeeeee anasema wenzangu wengi washasema wengi muamsho na mlalo yote yashasemwa lakini mimi namuomba Dk Shein aunde tume ya waliochukua ardhi ovyoo maana ardhi inachukuliwa ovyoo ovyooo hapa watu wamechukua ardhi kubwa kubwa sasa umiliki wa ardhi hiyo lazima tume iudnwe, na pili zitazamwe hizi kampuni za perroli zitazamwe zinakuja ovyooo maana kuna mikono ya watu.
Anasema ahaaaa hivi kweli nyie tokea kuzaliwa mmewahi kumuona Seif Sharif aaza mkono …siku hizi anakata ndevu zipo ndogo siku hizi anashiba yule na mtu akishiba lazima apande batra katika batra yake hajui katiba inazungumza nini yeye akiambiwa apeleke majina matatzu kapeleka yeye peke yake …aliambiwa marupurupu ya kulipwa ya waziri kiongozi….ahaaa mkono uliokaa juu na mkono uliokaa achini upi una heshima ..wewe unamsema rais wako ahaaaa wewe una ajenda maalumu mimi nakushangaeni nyinyi CUF mnamfuata mtu hana huruma ya nchi hii hana uongozi wa nchi hii Seif aongopwe hii ni serikali yetu nyie mmeingia kwa utapeli wetu matapeli wakubwa nyie….
Tumekupeni magari sasa ndio mnajidai …..ahaaa CCM oyeeeeee…wallahi laadhmu wamekaa kama mke wenza mie mke hiii nimekaliwa na marehemu dk Omar halafu nikae hapa hapa …..nataka nyumba kubwa nyumba na gari yenye milango ya mbele na nyuma mtu muhammada alaaaaaa haahhhhha waso haya wana mji wao hivi mnapotuona tumekaa kimyaaaaa mnadhani tumelala hatujalala sioniliambiwa nikae golikipa lakini sasa hivi CCM wameniweka namba 9, wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM tutapiga mpaka itoboke mkowa mwengine wa ngangari na mkoa mwengine, bwan mdogo tunamchunga na tunampenda haaaaa haaaa ohhhhhhhh tunampenda na sare nyekundu wana bendera ya Sayyid Khalifa mnaona sasa tulikwambieni huyu sio wenzetuuuuuuuu……..(Huyu
Birafya anaongea kwa pozi na anaigiza sauti ya kike basi hata simsikii vizuri) anasema sisi tunajua kuwa sisi ni UAMSHO NI cuf NA cuf NI uamsho wanakuja kupiga kisonge …kisonge sisi tunasema pale ni mchai chai sasa sijui hawa mbwa lazima wakakojoleee pale wainue miguuu…..haaaa halooooo halooooo haloooo ya bwan Seif kafunika anamunea kijicho makamo wa pili wa rais …yeye tumempa wendawazimu tumempa mabikira, tumempa madawa ya kulevya lakini balozi seif tumempa shughuli zote za baraza ndio maana anaona choyo …yule jamaa yangu mie anasema sana DK na Balozi ndio wanaifuja nchi hii wewe uko huko hospitali
…nakwambieni kitu kimoja wao wanachokiona kibaya ni kulewa tu ulevu ni mbaya kwao lakini wao analimwa na mwanafunzi wake huyo ni mzuri mimi si nakwenda kulewa kule baaa lakini wao ndio nawaona wengi kule wanapokuja kulewa, bendera inafunguliwa kwa udhu na unaweka kwa udhu lakini bendera hii inachukuliwa na hao wanalawitiana wana janaba wanabeba bendera hii msituharibie dini nyie bwanaaaaa, nyie mnavaa vilemba mnajua eti ahhhhh nchi wameiharibu nchi imeharibika hata ukipita kikwajuni unapita asumini hazinukii….lakini leo ijumaaa unakwenda kusali unaogopa loooo
Borafya anasema wanaovunja amani….nyie mmesoma nini hata babu maajaaa hamjui dini imani nyie hamna imani….makanisa yamejengwa na wafalme mnasema nini nyie mnajua dini nyie mmsoma …..kidumu chama cha mapinduzi….haya borafya anasema Maalim Seif anaumwa na lile la miguu tushamtibu lakini sasa aache kukaa ana nani huyo na awache kukaa na naniiiii Jussa
mkutano umemaliza
Last edited by a moderator: