Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
2,330
Reaction score
4,123
Niko kariakoo hapa Dar, kumetokea shangwe kubwa sana kwa na mji kuzizima!
Ni shangwe yenye kuashiria jambo la kher!
Kuna wengine wanasema cuf wamepewa ushindi,
Wengine wanasema uamuzi kufanyika j3 wa uchaguz kurudiwa au mshindi kukabidhiwa ushind wake!!

Mwenye taarifa kamili naomba atupie hapa pls!!!
 
Aiseeeeee..... tuhabarisheni jamani.
 
Hivi kama CUF akiwa mshindi wa urais,inakuwaje kwenye kikao cha baraza la mawaziri wa Muungano,kwani rais wa Zanzibar ni mjumbe.Ebu niambieni sheria inasemaje juu ya mamlaka ya rais wa zanzibar kwenye muungano
 
Kweli watu wengi Wako wana shangiria hapa Kariakoo wanasema Zanzibar kimeeleweka!
 
Eeeeeee Mungu!!! Tukulipe nini sisi waovu??? Yaani machozi yananitoka!!! Hakika Mungu wewe ni Kweli.. !!!
 
Naona hapa Kibaha kuna Mpemba anashangilia pia!!!
 
NDOTO ZA MCHANA: Maalim kupewa nchi ya Zanzibar.
 
.. Zanzibar spice uko wapi utupe taarifa za uhakika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…