Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,174 Nov 1, 2010 #21 CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!! Click to expand... CUF imeshinda majimbo yote ya Pemba kwa hiyo kinyang'anyiro ni Unguja tu..............
CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!! Click to expand... CUF imeshinda majimbo yote ya Pemba kwa hiyo kinyang'anyiro ni Unguja tu..............
silver25 JF-Expert Member Jul 29, 2010 743 44 Nov 1, 2010 #22 Mmmmm wewe umepata wapi hiyo Taarifa mbona sisi tulio fuatilia Usiku Shain alikuwa anaongoza Unguja na Pemba tunasubiria?
Mmmmm wewe umepata wapi hiyo Taarifa mbona sisi tulio fuatilia Usiku Shain alikuwa anaongoza Unguja na Pemba tunasubiria?