Elections 2010 Zanzibar kumekucha

CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!!

CUF imeshinda majimbo yote ya Pemba kwa hiyo kinyang'anyiro ni Unguja tu..............
 
Mmmmm wewe umepata wapi hiyo Taarifa mbona sisi tulio fuatilia Usiku Shain alikuwa anaongoza Unguja na Pemba tunasubiria?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom