Mwanakwerekwe si uchaguzi umeahirishwa?
Angalizo tu, Unguja ndio ina watu wengi na CCM wameshinda majimbo 13 kati ya 15.
Sitashangaa wakiibuka washindi wa urais. Kwa Pemba CUF wameshinda majimbo yote.
unguja kuna majimbo 18 mkuu. Pemba wana majimbo 12Angalizo tu, Unguja ndio ina watu wengi na CCM wameshinda majimbo 13 kati ya 15.
Sitashangaa wakiibuka washindi wa urais. Kwa Pemba CUF wameshinda majimbo yote.
Mwanakwerekwe si uchaguzi umeahirishwa?
CUF Unguja wamepata viti 3 jimbo la mji mkongwe, magogoni, na jimbo la mtoni
hadi muda huu wanaitaji majimbo manne toka unguja
ili wajiakikishie ushindi na waunde serikali wao
SOURCE: Radio One kupitia NEC.
Tupeane taarifa zaidi.
Ndo maana nasema watu wengine hapa ni kuapandisha watu presha tuMwanakwerekwe si uchaguzi umeahirishwa?