Elections 2010 Zanzibar kumekucha

Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,463
752
Wadau,

Mpaka sasa CUF wameshachukua majimbo mawili ya Unguja ambayo ni Mji Mkongwa na Mwanakwerekwe. Kumbuka Unguja ndiyo kambi ya CCM.

CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!!

SOURCE: Radio One kupitia NEC.

Tupeane taarifa zaidi.
 
Angalizo tu, Unguja ndio ina watu wengi na CCM wameshinda majimbo 13 kati ya 15.

Sitashangaa wakiibuka washindi wa urais. Kwa Pemba CUF wameshinda majimbo yote.
 
Majimbo yote 18 ya Pemba yamechukuliwa na CUF,

Wilaya ya chakechake CUF Kura: 21620, CCM Kura: 6670
 
Angalizo tu, Unguja ndio ina watu wengi na CCM wameshinda majimbo 13 kati ya 15.

Sitashangaa wakiibuka washindi wa urais. Kwa Pemba CUF wameshinda majimbo yote.

Pemba kuna majimbo mangapi mkuu?
 
Angalizo tu, Unguja ndio ina watu wengi na CCM wameshinda majimbo 13 kati ya 15.

Sitashangaa wakiibuka washindi wa urais. Kwa Pemba CUF wameshinda majimbo yote.
unguja kuna majimbo 18 mkuu. Pemba wana majimbo 12
 
Majimbo yote ya pemba yamechukuliwa na cuf, kwa upande wa Rais ccm ina kura chache sana Pemba na zaidi unguja-kati ya majimbo ya Mjinimjini (Mjin Magharibi), Dr. shein anaongoza majimbo 13 kati ya 15 kwani majimbo ya Mji Mkongwe na Mtoni Maalim Seif Ameongoza vizuri tu, mwenye Data za majimbo ya nga'mbo atuwekee-Note that, Wilaya za kati na Kusini ndio ambazo huditermine president wa Zanzibar na siyo Zanzibar! Lakini adabu kwa ccm inatolewa si mchezo huko visiwani
 
CUF Unguja wamepata viti 3 jimbo la mji mkongwe, magogoni, na jimbo la mtoni
hadi muda huu wanaitaji majimbo manne toka unguja
ili wajiakikishie ushindi na waunde serikali wao

SOURCE: Radio One kupitia NEC.

Tupeane taarifa zaidi.[/QUOTE]
 
Ah, hawa TBC1 wanachakachua sana, asubuhi wametangaza kuwa CCM imeshinda urais Zanzibar, BBC as well, now its different, who should I believe?
 
CUF Unguja wamepata viti 3 jimbo la mji mkongwe, magogoni, na jimbo la mtoni
hadi muda huu wanaitaji majimbo manne toka unguja
ili wajiakikishie ushindi na waunde serikali wao

SOURCE: Radio One kupitia NEC.

Tupeane taarifa zaidi.

Mkuu,

Kushinda viti vingi kwa Zanzibar si kuunda serikali maana rais ana viti vyake. Labda kama muafaka umeleta sheria mpya lakini ingelikuwa ile ya Zamani, hapo itategemea nani kachukua urais.
 
hahahah zanzibar oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee malim self oyeeeeeeeeeeeeeee chukuawa zanzibar waaache mafisadi wakilia tuu mwaka huuu ni wao wameula wachuya hawapati kitu labda wakavue :nono:pweza zitawafaa????????????????????????
 
Sina interest na Zanzibar achukue yoyote wala sikosi usingizi.Naitazama Zanzibar kama nchi huru uchaguzi wao na Kenya,Uganda na Rwanda tusiuingilie.Zanzibar wana wimbo wao wa taifa,wana bendera yao ya taifa,wanavikosi vyao vya ulinzi na usalama na wana Rais wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom