Zanzibar kudhibiti elimu ya juu

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130



Written by administrator // 29/03/2011 // Sauti // 6 Comments

suza-420x272.jpg
Na Ally Saleh,
Zanzibar imeanzisha bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika kile kinachoonekana ni harakati nyengine tena ya kupunguza udhibiti wa mambo ambayo yanafanywa na serikali ya muungano. Bodi hiyo inatarajiwa kwenda sambamba na ongezeko kubwa la wanafunzi wa elimu ya
juu hapa Zanzibar katika miaka ya karibuni :


Sauti:Zanzibar kudhibiti elimu ya juu | MZALENDO.NET
 
Back
Top Bottom