ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,172
- 50,863
Ni Austria siyo Australia. Ni umeme wa upepo siyo wa jua. Elimu, elimu, elimuZanzibar imeingia makubaliano na kampuni kutoka Australia Ili kuanza Kuzalisha umeme wake Yenyewe.
Mradi huo wa Nishati safi ya Jua utagharimu Shilingi Trilioni 3 na utakapokamilika unatarajia Kuzalisha megawatt 450.
Hongera Zanzibar Kwa hatua hii ,
View: https://www.instagram.com/p/C1KgRJlopYd/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
wamelipa deni la umeme hao? manake wanakulaga umeme wetu bure.Zanzibar imeingia makubaliano na kampuni kutoka Australia Ili kuanza Kuzalisha umeme wake Yenyewe.
Mradi huo wa Nishati safi ya Jua utagharimu Shilingi Trilioni 3 na utakapokamilika unatarajia Kuzalisha megawatt 450.
Hongera Zanzibar Kwa hatua hii ,
View: https://www.instagram.com/p/C1KgRJlopYd/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kabisa walipe deni letu kwanza ndio wahamie huko...wamelipa deni la umeme hao? manake wanakulaga umeme wetu bure.
Zanzibar imeingia makubaliano na kampuni kutoka Australia Ili kuanza Kuzalisha umeme wake Yenyewe.
Mradi huo wa Nishati safi ya Jua utagharimu Shilingi Trilioni 3 na utakapokamilika unatarajia Kuzalisha megawatt 450.
Hongera Zanzibar Kwa hatua hii ,
View: https://www.instagram.com/p/C1KgRJlopYd/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Hapo ndo ujiulize sasa! Trillion 3 kwa Zanzibar si mapato ya mwaka mzima! Wanaitoa wapi?Zanzibar imeingia makubaliano na kampuni kutoka Australia Ili kuanza Kuzalisha umeme wake Yenyewe.
Mradi huo wa Nishati safi ya Jua utagharimu Shilingi Trilioni 3 na utakapokamilika unatarajia Kuzalisha megawatt 450.
Hongera Zanzibar Kwa hatua hii ,
View: https://www.instagram.com/p/C1KgRJlopYd/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kwani mradi unatekelezwa ndani ya mwaka mmja Hadi useme washindwe kulipa kisa Bajeti yake inalingana na value ya mradi?Hapo ndo ujiulize sasa! Trillion 3 kwa Zanzibar si mapato ya mwaka mzima! Wanaitoa wapi?View attachment 2851088
Kwa nini hawawakatii?Zanzibar ni mojawapo wa sababu ya Tanesco kutofanya vizuri kwa sababu Zanzibar haijawahi kulipa bili za umeme wa Tanesco muda wote tangu wakati wa Nyerere Zanzibar wamekuwa wanafutiwa madeni ya umeme. Hii ni habari njema kwa Tanganyika watapumua kidogo na ikiwezekana waya za Tanesco ziondolewe immediately watakapoanza kutumia umeme wao. Watu wengi wanadhani Tanganyika inaitawala Zanzibar lakini ukweli ni opposite Zanzibar ndio inaitawala Tanganyika.
Kwamba huku bara tunaweza anzisha mradi wa Triolion 50 ikiwa tunajikadilia kukusanya Trillion 35? Ata kama mradi wa miaka mitatu ila sio sawa mzee! Ukumbuka Mwal Nyerere alishindwa jenga Hydroelectric Power pale Rufiji sababu ya bajeti tu na ujue kipindi hicho ilikuwa Billion kadhaa tu sio kama sasa Trillion 6.Kwani mradi unatekelezwa ndani ya mwaka mmja Hadi useme washindwe kulipa kisa Bajeti yake inalingana na value ya mradi?
Kwa nini ishindikane? Kama pesa ni ya Mkopo wa miaka 5 au zaidi na inatolewa kadiri ya utekelezwaji inashindikana nini?Kwamba huku bara tunaweza anzisha mradi wa Triolion 50 ikiwa tunajikadilia kukusanya Trillion 35? Ata kama mradi wa miaka mitatu ila sio sawa mzee! Ukumbuka Mwal Nyerere alishindwa jenga Hydroelectric Power pale Rufiji sababu ya bajeti tu na ujue kipindi hicho ilikuwa Billion kadhaa tu sio kama sasa Trillion 6.