Zanzibar; Kiwanja Cha ufukweni kinauzwa.

Millionaire mmoja hivi nadhani sasa anakimbiza kuwa multi-millionaire.
Nilipokuwa sehemu flani taratibu hapa duniani kwa mujibu wa imani yangu, nilimuomba mola kama mimi kuwa tajiri kutanifanya nitoke katika njia yake, nijione mimi msaidizi wa malaika, nidharau na kudhalilisha watu, nijikweze basi utajiri huo asinipe abadan asilan.

Ila kama mimi kuwa tajiri kutanifanya niwe msaada kwa fellow human being, nizidishe utiifu kwake, nibadilishe jamii in a positive way basi na anijaalie utajiri huo.

Kwahiyo Amen to your dua bro. Provided the conditions above are met.
 
💯 Bro, positivity and humanity katika hili ni muhimu.
 
Haya kaka[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe kazi yako kuwa negativity tu! Yaani sehemu ambayo jirani yako ni Europeans ana body of advisors wamekagua wakajiridhisha akaweka investment ya billions of money ije kuwa Ni eneo la bahari?

Lakini nimekuona tangia kwa yule jamaa anaetaka kununua Kiwanja Cha million 40 huko so negative tu!

Daah! Mungu akubariki lakini maana na wewe ni kiumbe wake.
 
Back
Top Bottom