TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Ulivyo na akili iliyojaa kinyesi wala hudhani kwamba mambo ya Unguja na Pemba yanawahusu watu wa Tanganyika! Kama ya Burundi yanaathiri Watanzania, Sembuse Zanzibar?
Lafudhi tu ya huyo takataka anayeongea kwenye hiyo clip inaonyesha kabisa kuwa ni mtu KLM halafu unategemea tutegemee jipya kutoka kwake? Tangu lini mtu wa KLM akawa upande wa Serikali ya JMTZ? Eti naye anajifanya mtetezi wa Unguja na Pemba tangu lini huyo takataka Unguja na Pemba zikamuhusu?
Hawa ndiyo waliokuwa maadui wakubwa wa Muungano wetu tangu siku ya kwanza na ndiyo waliomsumbua Mlm.Nyerere klk mtu yoyote yule eti leo hii na lafudhi yake ya kukera anajifanya mtetezi wa Unguja na Pemba!
inatia uchungu .Nakuelewa m kuu pamoja na lugha Kali uliyotumia.
NO ... nadhani hiyo lafudhi ni nafuu kuliko ile ya akina olensukuma gete... eti leo hii na lafudhi yake ya kukera ...
Kipimo cha lafudhi ni sikio. Sikio jingine sio SI UNITY ila jingine ni SI UNITY.NO ... nadhani hiyo lafudhi ni nafuu kuliko ile ya akina olensukuma gete
Haya endelea kuwatumikia mabwana zako..Siogopi yeyote, Nimeongea Hivyo Kwa confidence! Hakuna lolote wanaloweza Kunifanya Kwa Kuwa Nasema Kweli, Ila Kama Upo hapo Bongo Uwe Makini, These criminals will stop at Nothing at their self deception that they own every Tanzanian as their livestock and I guess they can decide whose Christmas is at hand! Ila Kwangu Mimi am secure, physically and legally. Ndio Maana kwa Niaba yenu ndugu zangu Napush envelop as far as I can, Mugabe ana msemo asemao, "If it bother them they can go and hang"
Ushauri uliotoa unaweza kuwafunga CUF baadae. Kama nimefahamu vizuri hoja ya CUF ni kuwa Uchaguzi ulikamilika tarehe 25.10.2015 na ulikwenda vizuri tu. Wengi wanaamini ulikuwa huru na wa haki hata kama zilikuwepo kasoro za hapa na pale. CUF inashikilia kuwa washindi ambao wamekabidhiwa vyeti vya ushindi ni washindi halali. Watakapowapokonya uanachama kama CUF wana nia ya kwenda mahakamini kupinga/kuzuia uchaguzi batili uliopangwa ufanyike 20.03.2016 watakuwa wamejiweka pabaya. Watakuwa wamelazimisha uchaguzi wa marudio kwa majimbo ambayo hayana wawakilishi na madiwani kwa sababu wawakilishi na madiwani hao walivuliwa uanachama. Haja ya uchaguzi wa kujaza nafasi iliyo wazi inapata nguvu.Huu ni Uhuni wa Ajabu, Watu wanashinda mnafuta Ushindi wao, Kisha Mnalazimisha Uchaguzi Urudiwe, Na Kama Haitoshi Mnawashawishi sana wakubali Kuingia kwenye Uchaguzi wa Marudio ili Muwaibie na Kuhalalisha Wizi huo......
Ila si CCM wanajifanya Wahuni, Mimi Nitawafundisha CUF Kuwapa CCM, MKAPA na KIKWETE KO ya Kisheria na Kikanuni, Very Simple, Wasimamisheni Uanachama kwa Muda Usiojulikana, Wanachama wote Wanaolazimishwa Kuingizwa kwenye Uchaguzi Batili wa Kihuni. Halafu watatuambia kama watawabakisha kama wagombea binafsi au Madudu gani
Jibu hoja, sio kujificha nyuma ya matusi na ujinga mwingine wa eti lafudhi
Lafudhi tu ya huyo takataka anayeongea kwenye hiyo clip inaonyesha kabisa kuwa ni mtu KLM halafu unategemea tutegemee jipya kutoka kwake? Tangu lini mtu wa KLM akawa upande wa Serikali ya JMTZ? Eti naye anajifanya mtetezi wa Unguja na Pemba tangu lini huyo takataka Unguja na Pemba zikamuhusu?
Hawa ndiyo waliokuwa maadui wakubwa wa Muungano wetu tangu siku ya kwanza na ndiyo waliomsumbua Mlm.Nyerere klk mtu yoyote yule eti leo hii na lafudhi yake ya kukera anajifanya mtetezi wa Unguja na Pemba!
Ushauri uliotoa unaweza kuwafunga CUF baadae. Kama nimefahamu vizuri hoja ya CUF ni kuwa Uchaguzi ulikamilika tarehe 25.10.2015 na ulikwenda vizuri tu. Wengi wanaamini ulikuwa huru na wa haki hata kama zilikuwepo kasoro za hapa na pale. CUF inashikilia kuwa washindi ambao wamekabidhiwa vyeti vya ushindi ni washindi halali. Watakapowapokonya uanachama kama CUF wana nia ya kwenda mahakamini kupinga/kuzuia uchaguzi batili uliopangwa ufanyike 20.03.2016 watakuwa wamejiweka pabaya. Watakuwa wamelazimisha uchaguzi wa marudio kwa majimbo ambayo hayana wawakilishi na madiwani kwa sababu wawakilishi na madiwani hao walivuliwa uanachama. Haja ya uchaguzi wa kujaza nafasi iliyo wazi inapata nguvu.
Hata pale CUF watakapopinga uapishwaji wa "washindi wa uchaguzi wa marudio" kwa uthibitisho wa vyeti vya ushindi walivyonavyo ambavyo walipewa na ZEC na hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga ushindi wao kama watakuwa wamewavua uanachama watakuwa hawana hoja ya msingi.
Tatizo ambalo linazidi kuweka ukungu katika kadhia hii ya maigizo ya marudio ya uchaguzi ya CCM na Jecha ni hii imani ya CCM na viongozi wake kuwa Tume ya uchaguzi ni huru na mahakama ni huru. Kama vyombo hivi ni huru, ingeonekana kwa kila mtu kuwa ni vyombo/taasisi huru lakini uhalisia hauko hivyo.
Haya endelea kuwatumikia mabwana zako..
Kina Nyerere waliikuwa hapahapa Tanzania wakati wanapigania nchi yao. Sasa wewe umejificha huko ughaibuni tena kwenye mtandao.. Hahahahaha
Njoo usimame hadharani dunia ikuone..ndio maana mnalalamika hoo lowasa kaibiwa kura.,, alafu eti mnasubiri aseme neno muingie barabarani. Kenya hawakusubiri Odinga aseme neno.
Yani mnaandamana mitandaoni loh...
Haya endelea kuwatumikia mabwana zako..
Kina Nyerere waliikuwa hapahapa Tanzania wakati wanapigania nchi yao. Sasa wewe umejificha huko ughaibuni tena kwenye mtandao.. Hahahahaha
Njoo usimame hadharani dunia ikuone..ndio maana mnalalamika hoo lowasa kaibiwa kura.,, alafu eti mnasubiri aseme neno muingie barabarani. Kenya hawakusubiri Odinga aseme neno.
Yani mnaandamana mitandaoni loh...