TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Huu ni Uhuni wa Ajabu, Watu wanashinda mnafuta Ushindi wao, Kisha Mnalazimisha Uchaguzi Urudiwe, Na Kama Haitoshi Mnawashawishi sana wakubali Kuingia kwenye Uchaguzi wa Marudio ili Muwaibie na Kuhalalisha Wizi huo. Wanakataa Mnatumia lugha zinazozidi hoja za uharo ati hawawezi Kujitoa kwenye Uchaguzi wa Marudio. Kwa maana Nyingine, Mnawalazimisha waingie Uchaguzi wa marudio ili Mhalalishe wizi mlioupanga.
Nasikia Kichefuchefu Kila Nikisikia ati Jecha Kasema Hiki, ZEC, Waamesema Hivi etc. Enyi Watanzania na Wazanzibari. Uhuni wote huu, tangu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, Kudhalilishwa huku kwa Watu wa Zanzibar, Kunafanywa na CCM Chini ya Usimamizi na MAAGIZO YA KIKWETE NA MKAPA.
Wakati Kulipotokea Vurugu Kenya Bila aibu Niliwaambia baadhi ya Marafiki zangu wa Kenya, "Mnisamehe, Najua shida iliyopo kenya, sitaki iishe haraka, kwani itakuwa Ni fundisho siku nyingine wanasiasa hawatarudia Upuuzi huu" Kenya walijifunza, Nilidhani somo lingesaidia Tanzania. Ni maombi yangu Kwa Mungu, Asaidie Zanzibar Ikalete Fundisho kwa hawa Mbwa wanaocheza na Amani na Uhuru wetu. Na Mbaya zaidi wanajifanya Ni Miungu.
Ila si CCM wanajifanya Wahuni, Mimi Nitawafundisha CUF Kuwapa CCM, MKAPA na KIKWETE KO ya Kisheria na Kikanuni, Very Simple, Wasimamisheni Uanachama kwa Muda Usiojulikana, Wanachama wote Wanaolazimishwa Kuingizwa kwenye Uchaguzi Batili wa Kihuni. Halafu watatuambia kama watawabakisha kama wagombea binafsi au Madudu gani
Mwalimu Nyerere katika maisha yake na Utawala wake alifanya Mambo mazuri ajabu. Lakini yapo machache aliyoyakosea na alikiri, mfano ikiwa ni Kuwalazimisha watu kwenda Vijiji vya Ujamaa, Kama Geza Ulole, Vigugumo etc. Lakini Mojawapo ya Kosa Kubwa ambalo kwa mwelekeo wa Kauli zake kabla hajafariki alishaanza Kuliona ni Hili, Mwaka 1995 akijibu swali la Mwandishi kuwa ni Kwanini ameamua kujihusisha na Kampeni za Urais Katika Uchaguzi wa Kwaza wa vyama Vingi alijibu, "Siwezi Kulala na Kuachia nchi yangu ikachukuliwa na mbwa" Lakini Masikini alikuja Kuanza kuona Dalili too late kwamba lile alilolihofia ndilo lililotokea Nchi ilichukuliwa na MBWA.