Zanzibar just now hali ya hatari

zanzibar ni ndogo sana kama itatokea vita kati ya raia na polise ni mauaji makubwa sana ya raia wasio na hatia kupoteza maisha eeehh mungu epusha haya ili kuwaokoa akina mama na watoto kwani wao ndio wahasirika wakubwa katika vita amin.
 

Haya nayo tuyaandikeni Watanganyika...

 

Aaa argh! Waacheni wapigwe marungu na polisi, vunja viuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…