Zanzibar inafaidikaje na pesa za visa?

Zanzibar inafaidikaje na pesa za visa?

salmar

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
799
Reaction score
363
Ndugu wana bodi na ma great thinkers.

Ndugu zangu naomba kujuzwa wageni wanapotaka kuingia tanzania wanalipia visa ya kuingia tanzania jee kwa upande wa zanzibar hili fungu la gawio la pesa za visa wanapata ama.

My take naomba tujadilini hoja na tuwe na ustarabu katika hii hoja
 
Ndugu wana bodi na ma great thinkers.

Ndugu zangu naomba kujuzwa wageni wanapotaka kuingia tanzania wanalipia visa ya kuingia tanzania jee kwa upande wa zanzibar hili fungu la gawio la pesa za visa wanapata ama. My take naomba tujadilini hoja na tuwe na ustarabu katika hii hoja

Wao kwenye muungano ni kama mke kwenye ndoa, hivyo mme akipata na mke anafaidi
 
So kama mke kuna gawio wanapata
 
kama kumbukumbu zangu ziposawa zanzibar mnapewa na tanganyika 7% ya pato linalokusanywa...... Kupata kiasi mnachopewa kila mwaka waziri wako wa fedha anahusika...ila kiufupi makusanyo hayo yanajumuisha na visa pia....
 
We mtoto wa mtumwa unayeita watu machogo wakati mababu zako walitoka huko huko kama unajua watu ni machogo wasioweza kutoa jibu mliweka uzi wa nini? Acheni matusi ya kijinga kama huna hoja si unyamaze? Mjumbe ametaka kujua jinsi Znz inavyonufaika na pesa ya visa. Kama huna jibu nyamaza. Nijuavyo Znz inafaidika kutokana na bajeti yake kutoka kwenye serikali ya Muungano. Znz ni sehemu ya Tanzania hivyo hupa kila kitu wanachopata watanzania tena saa nyingine hata zaidi hasa kwenye vyeo vya kisiasa.
 
....wanapewa kila kitu, ndo maana wana jeuri ya kuwaita 'machogo'...
 
kama kumbukumbu zangu ziposawa zanzibar mnapewa na tanganyika 7% ya pato linalokusanywa...... Kupata kiasi mnachopewa kila mwaka waziri wako wa fedha anahusika...ila kiufupi makusanyo hayo yanajumuisha na visa pia....
Ndugu zangu hawa hawaishi kuulizia mgao mgao mbona hawaulizi kuhusu madeni ya muungano??? lakini hata hivyo gharama za visa ni operational cost za immigration dept ambapo ninavyoelewa gharama hizi ambazo muombaji hulipa kwa idara hiyo kufidia gharama za mchakato wote wa utoaji wa visa.
 
Usitegemee kupata majibu, hiyo ndiyo hulka ya machogo, lazima watakwepa hoja

Machogo ni kina nani? Salama kasema tujadili hoja wewe mpemba unakuja unaharibu mada .. Tukisema unakula pua ndefu mod watatupiga ban bana
 
kwani mwanza wanafaidikaje na pesa ya visa?
 
So kama mke kuna gawio wanapata

sehem kubwa wao hupata pesa kwa kupitia ma HOTEL hai wageni watalala kule its Same times hao wageni huingilia Zanzibar na kuondokea Bara hilo fungu la VISA huku halituhusu tutapokea kwa HOTEL na MBUGA. na KILIMANJARO Mount ndio utaratibu wetu je UNATAKA KATIBA MPYA IPANGE VIPI ???
 
hapo kwenye red ukilaza wenu unasababishwa na kutokuwa na hayo machogo.. Watu gani mna vichwa kama flat screen; ndio maana top ten ya shule zilizofeli zaidi huwa zinatoka kwenu
mwanangu wa mwisho amabaye ana miaka 12 anachogo sasa kuna wakati ninamtania kwa kumwita chogo naye hunijibu kwa kujiamini kuwa hilo chogo limejaa oblangata na ndiyo maana yupo top ten wakati wote hahahaha God bless machogo
 
Zanzibar hiiuzi Visa ya Tanzania kwa wageni Airport, wanagongewa muhuri tu kuwa wameingia Zanzibar. ushahidi hata watalii 1,000,000. naweza kuwapa
 
Back
Top Bottom