Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

Status
Not open for further replies.
waarabu walio wengi kama sio wote ni waislamu.angalia jinsi wanavoishi.popote utakaposikia upotevu wa amani apa duniani jua waislamu wanausika ama moja kwa moja ama kwa kuwatumia watu.nenda misri,libya,tunisia,syria,mali,afghanistan,palestina,somalia,iraq iran,na sasa zanzibr,na kwa bahati mbya awa waarabu ata wakienda kwenye nchi zilizo staarabika bdo wanalazimisha kueneza upuuzi wao.cjui kma mtume mohamad s.w alikua anafundisha aya.shukuruni nature haikuruhsu niwe mungu.ngeshawasambaratisha nyote pumbvu zenu.
Ficha ujinga wako kwa angalau kukaa kimya tu.
 
hizi sumu mnazozimwaga kwenye vyombo vya habari ndio vitasababisha maafa. waislamu hawajamshutumu mkristo yoyote kujihusisha na haya mauwaji, lakini soma kauli za wakristo humu JF
........usifanye watu wapumbavu ww, wana akili zao usiwafundishe kufikiri kivivu

 
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake,

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.


...............Kumbe shambani kwake... nilidhani kafumaniwa..................... Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun
 
Hii ni Post ya Mchangiaji wa Mzalendo.net

Inaweza ikawa Watanganyika Walioletwa (Wakristo) walioletwa Unguja ili kuikomboa CCM na Kueneza Ukristo Zanzibar wamelipiza kisasi cha Padri Shayo.

Hata jitu liwe Jahili vipi basi kwa itikadi na utamaduni wa Kizanzibari Mzanzibari halisi hawezi kumua mtu mwengine kwa Mapanga..

Hizi nitabia za Kishenzi ambazo zinatokea huko Tanganyika -Tanganyika wanakuja kujifichia Zanzibar. Wafanye nini Yakhee na ss hatuna Viongozi ila Wanafiki tu.

Mimi nataka Wazanzibari wasimame kidete Wawashinde watu hawa na wasiogope kulipiza kisasi.

Tuanzie na kwenye red: Hakuna Padre Shayo au Shao Zanzibar; yupo Askofu Shao wa Kanisa Katoliki. Tunajua kwamba Askofu Shao amekuwa anapata vitisho. Lakini aliyepigwa risasi ni Padre Evaristus Mushi na sio Askofu Shao. Je, inawezekana watu waliompiga risasi Padre Mushi walidhani wanampiga Askofu Shao?

Kwenye blue - ukisoma sehemu zilizo in blue kwa pamoja, unapata picha ya ukigeugeu. Huyo bwana aliyeandika Mzalendo anasema Zanzibar hakuna wauaji, na kwamba wanaofanya mauaji ni watu toka Tanganyika. Lakini hapo hapo anawaambia Wanzibari walipize kisasi! Wanalipizaje kisasi, kwa kuua? Na kama wanaua, madai yake kwamba Zanzibar hakuna wauaji yanasimamaje?

Zanzibar kuna watu wanaleta chokochoko za kubagua Watanganyika, lakini sasa wanawaua. Iko siku Tanganyika watasema enough is enough. Ipo siku.
 
Nadhani ile theory ya Ustaadhi Ilunga itatumika hapo sasa! Kwamba akiuwawa Sheikh mmoja wauweni maaskofu au wachungaji kadhaa. Kanisa lapaswa kuwa makini sana kipindi hiki kigumu. No one knows whats behind these issues. Hawakawii kusambaza jumbe wakidai ameuwa na wakristo ili kulipiza kisasi hivyo kupelekea umwagaji damu mwingine kwa watu wa Mungu. Kwa hakika Shetani yuko kazini akitenda kazi zake kwa uwazi pasi na kificho kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu.
mtu wa mungu nani kafa mtu wenu mmesema waisilamu wanahusika bila hata uchunguzi kafa imamu kwa nini makafiri wakikristo wasihusike kwa theory hiyo
 
akiuwawa padri vidole vyote kwa waislam,

akiuwawa imamu/shekhe utaskia wameuana wenyewe kwa wenyewe,hii inaingilia akilini?

Wale waliokawa wanasema waislam wanahusika na kifo cha padri huko zanzibar,je wanasemaje sisi waislam tukisema wakristo wamelipa kisasi??
 
mdudu wa matatizo anazidi kuiandama zanzibar eeh MUNGU waepushe na mkono wa chuki.
 
kwa lipi mkuu,do u knw how much u spend to create a priest ama una bwabwaja 2?imam?wats a imam angekua shekhe sawa!imam si kama mwenyekiti wa kigango!uwezikuita iki ni kisasi?imam ni m2 mdgo sana kwa padre bro thnk twic sio kubwabwaja 2.

we kima kweli wewe! Kwa taarifa yako ktk uislam swala ni nguzo kubwa na msikiti ndio nyumba bora na imam ndio kiongozi mkuu, shika adabu yako. Heshimu baba wa mwenzio ili baba ako aheshimiwe.
 
Umoja wa Ulaya na Serikali ya Marekani HAwatanyamaza tu na kuangalia ugaidi ukizidi kujichimbia katika ukanda huu wa Afrika MASHARIKI.

kwanza wameanza kutangaza kwamba zanzibar ni eneo la hatari kwa raia wake kutembelea kisha watasema zanzibar kuna magaidi kisha watakuja na jeshi la majini kukizunguka kisiwa chote. bahati mbaya zanzibar iko majini pande zote kuiteka kijeshi ni muda mfupi tu.
 
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake,

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.
Joka la Mdimu
 
Ninachojua mimi ni kwamba, ile vita ilikuwa ni ya kikabila(wahutu na watusi). Sijakuelewa kwanini unasema waislam hawakuhusika...au una maana watusi ambao ni waislam au wahutu ambao ni waislam hawakushika mapanga na kuchinjana??

katika vita ya Rwanda, mtu alikuwa anauawawa kwa UHUTU au UTUSI WAKE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom