Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

Status
Not open for further replies.
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake,

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.
sitashangaa nikisikia wafia dini wakisema ameuliwa na wanamtandao wa mfumo kristu.R.I.P imam.
 
Ingekuwa na maana tu kama wanaotangaza JIHAD wanasalimika na vita, lakini kama na wao wanakufa basi ni upumbavu.

OSAMA alitangaza Jihad yuko wapi? alijidanganya kwamba angeweza kupambana na waisrael na wamarekani.

ni kweli na anaeingia kwenye jihad atamani kufa zaidi ya kuishi, hivyo jihad ni maandalilizi ya kufa kwenye mapambano ya kutetea na kusimamisha dini ya Alllah.
 
''unahamasisha kifo chako boya mkubwa. Unataka hawa wapanic co wakati unajua kiasi cha uvumilivu wao'' mpiga debe akimwambia abiri wake
 
waarabu walio wengi kama sio wote ni waislamu.angalia jinsi wanavoishi.popote utakaposikia upotevu wa amani apa duniani jua waislamu wanausika ama moja kwa moja ama kwa kuwatumia watu.nenda misri,libya,tunisia,syria,mali,afghanistan,palestina,somalia,iraq iran,na sasa zanzibr,na kwa bahati mbya awa waarabu ata wakienda kwenye nchi zilizo staarabika bdo wanalazimisha kueneza upuuzi wao.cjui kma mtume mohamad s.w alikua anafundisha aya.shukuruni nature haikuruhsu niwe mungu.ngeshawasambaratisha nyote pumbvu zenu.

ma..t,ako wewe, yaani uwe mungu wewe usivyo na akili ivo...nya....mbf kabisa
 
Kabila gani linachinja waumini wake Kanisani. Vipi issue ya Askofu Kibwetele? Vipi issue ya Mkatoliki safi Adolf Hitler?
unachekesha! Ukristo ni kuyafuata na kuyaishi mafundisho ya Bwana Yesu! Yamesimamia kwenye Upendo na Msamaha! Na sio jina au kubeba msalaba kama nyumba! Labda ubandike humu Jf pale Bwana Yesu alipofundisha mauaji na kisasi! Na uislamu ni kuyafuata na kuyaishi mafundisho ya muamadi, ambaye amefundisha mauji na kisasi na mambo kama hayo! basi waliofanya mauaji hayo wameCP Toka kwa Qurani/muhammad! Hivyo nikisema ni waumini wa muamad nimekosea! Manake imani bila matendo ya imani imekufa!Hata hilo hulijui?
 
Hizo si ndio zenu?

tunawajua sana,eti hatulipi kisasi,kwan kauwawa na nani hyo padri wenu?

wahalifu hawajakamatwa hadi sasa,ajabu mnawanyooshea vidole waislam,,

vipi sasa mnona mmeamua kulipa kisasi?

biblia ndio inasema hivyo?

mkuu siamini kama waktristu dnio wamemuua shekhe

kwa zanzibar, wakatoliki hawafiki hata asilimia 2
 
Ustadhi Dilunga.......Nchimbi was very right!kweli ugaidi upo zanzibar ukiongozwa na UAMSHO
 
Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo anasema limetokea majira ya saa 8 mchana huko Kitope wakati Marehemu akiwa shmbani kwake,

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zinasema Imamu huyo alipigwa mapanga shingoni kwake na kupoteza damu na kusababisha kifo chake wakati akikimbizwa hospitali.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Inna lillahi wainna ilayhi rajiiun.

naona umeamia uamshe taharuki kwa kutumia title ya 'imamu' kesho tusikie mzee wa kanisa keshokutwa muislamu na baada ya hapo kila kitu dini dini dini.! acha hizo...lengo lako tu uone ati inaunganishwa na ishu ya hao magaidi yenye chuki na ukristo yaliyo muua padre, ushindwe na ulegee kabisa we Gavana
 
waislam hawana makabila??? mbona hawakuhusika????
Ninachojua mimi ni kwamba, ile vita ilikuwa ni ya kikabila(wahutu na watusi). Sijakuelewa kwanini unasema waislam hawakuhusika...au una maana watusi ambao ni waislam au wahutu ambao ni waislam hawakushika mapanga na kuchinjana??
 
Naona nihame tu hapa mana ban inanitafuta, naipenda jf acha nikuachieni udini wenu hapa mimi ni utaifa kwanza
 
yaani mkuu wewe kichwa chako kimejaa uji badala ya ubongo

kwa lipi mkuu,do u knw how much u spend to create a priest ama una bwabwaja 2?imam?wats a imam angekua shekhe sawa!imam si kama mwenyekiti wa kigango!uwezikuita iki ni kisasi?imam ni m2 mdgo sana kwa padre bro thnk twic sio kubwabwaja 2.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom