Zanzibar ijifunze kutoka Zimbabwe

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,863
5,694
Ung'ang'anizi wa madaraka wa Mugabe na ubabe usio na tija umesababisha uchumi wa taifa hilo kuwa katika hali mbaya kabisa kwa sasa.

Jana wafanyanyakazi wa umma Zimbabwe waligoma kufanya kazi wakisisitiza kulipwa mishahara yao na kuboreshewa mazingira ya kazi.

Wakihojiwa na shirika la utangazaji la BBC walimu na wafanyakazi wa afya walisema wamesitisha huduma kwa wananchi na kuwaeleza wananchi wa Zimbabwe waende ikulu ya Mugabe kupatiwa huduma hizo.

Hali hii inaweza kutokea Zanzibar pia, kwani hata Zimbabwe haikutarajiwa kutokea. Ni athari za taratibu na mwishowe zimeiathiri nchi yote kiuchumi kwa sasa.

Ni vema taifa la Zanzibar likatafuta muafaka sahihi ili kuepuka madhara yatakayo kuja kwa watu wake.
 
Uhusiano ni mdogo sana, japo upo sahihi
 
Aliyeshida kihalali ndiye atawale! Huo ndio muafaka halisi na ndiyo Demokrasia!!!
 
Democrasia inawabeba sana watu feki, mtu kajitangazia matokeo, bado haoni kosa, kaenda kwa Baba zake marekani, bila kupata mwafaka karudi oooh niko tayari kukamatwa, debe tu kwa nini kuhifadhiwa??
 
Back
Top Bottom