Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Ung'ang'anizi wa madaraka wa Mugabe na ubabe usio na tija umesababisha uchumi wa taifa hilo kuwa katika hali mbaya kabisa kwa sasa.
Jana wafanyanyakazi wa umma Zimbabwe waligoma kufanya kazi wakisisitiza kulipwa mishahara yao na kuboreshewa mazingira ya kazi.
Wakihojiwa na shirika la utangazaji la BBC walimu na wafanyakazi wa afya walisema wamesitisha huduma kwa wananchi na kuwaeleza wananchi wa Zimbabwe waende ikulu ya Mugabe kupatiwa huduma hizo.
Hali hii inaweza kutokea Zanzibar pia, kwani hata Zimbabwe haikutarajiwa kutokea. Ni athari za taratibu na mwishowe zimeiathiri nchi yote kiuchumi kwa sasa.
Ni vema taifa la Zanzibar likatafuta muafaka sahihi ili kuepuka madhara yatakayo kuja kwa watu wake.