mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,770
- 4,656
​na haitatokea kuongozwa na raia wa nchi nyingine..........back Tanganyika
Kwan Zanzibar imeshawahi kuwa na raisi kutoka bara? Au hata waziri tu!
Karume alikuja Zanzibar toka Malawi akiwa tayari na mvi kichwani. Pia Dr Bilal kaja kwa miguu yake toka Malawi.
Mzee Karume katoka Malawi na wanawe wote kina Amani walikulia nyumbani kwa Kamuzu Banda rais shoga na khanisi wa Malawi, walikuwa ndugu wa karibu.hivi tuki-trace familia ya karume Sr. kule zenji tunaweza pata hata kaburi la babake au babu yake kweli?
Iweje nchi nyingine itoe rais kuongoza nchi nyingine? Mbona hakuna waziri kiongozi wa smz aliyetoka bara?
Zanzibar ni wajanja kuliko Tanganyika yaani Wao cha kwao ni cha kwao tu ,lakini cha Tanganyika ni cha Wote . Wabunge wa Zanzibar ni Mawaziri huku Tanganyika tena wengine ktk Wizara ambazo si za muungano , lakini hakuna mbunge wa Tanganyika amewahi Kuwa Waziri Zanzibar hata kunusa vikao vya Baraza la wakilishi tu imekuwa Vigumu.Wabunge wa Zanzibar wanakula posho Dodoma lakini Wabunge wa Bara marufuku Posho ya Baraza la wakilishi.inashangaza sana eti Kisiwa Kidogo chenye watu million 1.5 tu kinagawana mapato sawa na Nchi yenye watu million 44 ambayo wameiroga ilikatae jina lake la Asili na kung'ang'ania Kuvaa koti la Muungano Lenye Kunguni na Chawa.
Wazanzibar wenyewe si unawaona walivyo mdebwedo bilali,karume,shain....hata kuongea hawawezi.
Toka lini urojo ukakupa nguvu?
Miaka 50 ya muungano wa tanganyika na zanzibar ,zanzibar haijawahi kutoa rais wa muungano,rais wa kwanza nyerer kazaliwa butiama ,mwinyi kazaliwa kivule mkoa wa pwani ,mkapa mtwara na JK msoga na kuna dalili rais wa tano kutoka bara kwani majina yanayotajwa ni ya wabara tu
Orojo unaleta akili?Tangu lini nchi imendeshwa na wenye misuli? Dunia ya sasa brains count not brawn. Digest it sleep on it ndugu.