Kireka1980
JF-Expert Member
- Mar 18, 2008
- 302
- 44
mm nipo zanzibar jana siku nzima hakukuwa na umeme kisiwa chote, ukarudi saa kumi na moja for two hours then ukakatika hadi this time haujarudi, kama kuna mwenye data zaidi. HII NI HATARI KIUSALAMA KISIWA CHOTE KUWA GIZANI!
Na hapo bado kuna muungano..........!!!!!!!!!!! Tukiachana tu, tutakuwa tunaukata kwa makusudi........... Teheee tehe... hasa hasa mkichelewesha malipo ya bilimm nipo zanzibar jana siku nzima hakukuwa na umeme kisiwa chote, ukarudi saa kumi na moja for two hours then ukakatika hadi this time haujarudi, kama kuna mwenye data zaidi. HII NI HATARI KIUSALAMA KISIWA CHOTE KUWA GIZANI!
kama mambo yenyewe ndio hayo inabidi zanzibar smz itafute suluhisho la umeme la kudumu kutegemea umeme wa bara watajisumbua,huku tanganyika kwenyewe hakuna umeme wa uhakika,unategemea kuazima jamvi kwa jirani yako wakati yeye jirani yako ana msiba.wazenj amkeni tafuteni suluhisho la kudumu la tatizo la umeme nyie wenyewe kama taifa huru,mm nipo zanzibar jana siku nzima hakukuwa na umeme kisiwa chote, ukarudi saa kumi na moja for two hours then ukakatika hadi this time haujarudi, kama kuna mwenye data zaidi. HII NI HATARI KIUSALAMA KISIWA CHOTE KUWA GIZANI!
kama mambo yenyewe ndio hayo inabidi zanzibar smz itafute suluhisho la umeme la kudumu kutegemea umeme wa bara watajisumbua,huku tanganyika kwenyewe hakuna umeme wa uhakika,unategemea kuazima jamvi kwa jirani yako wakati yeye jirani yako ana msiba.wazenj amkeni tafuteni suluhisho la kudumu la tatizo la umeme nyie wenyewe kama taifa huru,
wazanzibar banaah kazi kila siku ooh muungano ufe !!!kumbe hawayawezi ona sasa wanavyovurunda hako sijui ka ZECO???mmmmh muungano na ufe tuu uone kama uko Zenji kutakalika hawatakawia kusema sijui wanyamwezi/wazaramo/wanyasa ili tu warejee bara.Watakula jeuri yaooooo.NA BADO !!!!,,,,Hapo nilipo bold na ku italic hapo,Tatizo sio umeme wa bara haupatikani,tena kwa taarifa yako TANESCO siku zote wamekua wakiipendelea mno ZENJI,inatokea MIGAO mikalimikali huko BARA,lakini ukifika ZENJI umeme upo tena ulikua wa uhakika,Tatizo ni hiki ki kampuni kinajiita ZECO,inakuaje kampuni mama ikose spare parts muhimu ghalani???,this time around kilicho haribika sio MARINE CABLE yenyewe,ni kitu ambacho spare yake haipo katika STORE mfu za vijaa vya ZECO,na yote hii imetokana na ongezeko kubwa la matumizi wakati ma TRANSFORMER yanayotumika ni yaleyale ya miaka ileee,,,hii mijitu tusipoibadili,hakiamama vile tutaendelea kuishi kwa KUBAHATISHA kwa miaka mia ijayo,,watu kama hamuwezi si MTOKEEE!!!
mm nipo zanzibar jana siku nzima hakukuwa na umeme kisiwa chote, ukarudi saa kumi na moja for two hours then ukakatika hadi this time haujarudi, kama kuna mwenye data zaidi. HII NI HATARI KIUSALAMA KISIWA CHOTE KUWA GIZANI!
Hatimaye Umeme umerudi tena jioni hii; nimeongea na mtu wangu wa karibu huko visiwani amenithibitishia hilo.
Lakini kutakuwa na muendelezo wa matengenezo kuelekea katika ufmbuzi wa kudumu wa tatizo la main cable kutoka bara. Juzi niliskia Kaimu Manager wa ZECO akisema wanatarajia kubadilisha waya wote na kazi hiyo inatarajiwa kukamilika kabla ya mwishoni mwa mwezi January.