Ccm Zanzibaw watashiwa akina
Bilali na Shein , Mansuri ana kundi lake akina Amani karume na
wenzake.
Kwahiyo ndiokusema alimpotosha mwenzake yaani Msabaha alafu yeye anarudi alikokuwa Msabaha?Hapo Msabaha atajisikiaje?huyu ndie Edi Riyammi, kama mnamkumbuka Salim Msabah yule muwakilishi wa mwanzao kujiuzulu CUF na ikawa sakata kua ametekwa inasemekana huyu jamaa alihusika kwa maslahi ya CCM.
Tanganyika kabla ya kupigana na Rwanda tunahitaji vita ya kirafiki na Zanzibar ....
haka kawilaya ka Tanzania kana makeke sana