Zanziquest Limited
Member
- Jun 20, 2019
- 11
- 5
MK254 NairobiWalker karubuni majirani tufurahia urithi tuiopewa na Mungu sisi wana East Africa
Dah! Hiyo bei mbona ndogo sana, tatizo kwa bei ndogo hivyo mtasongamana hadi isiwe raha tena, ila shukrani tarehe 12 ni karibu sana, siku chache za kujiandaa haswa kwa sisi wa mbali huku.
Ni Muhimu kujihakikishia Seat yako mapema. Unaweza kutembelea ukurasa wetu wa instagram @zanziquest au unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia +255 672 728 871, namba inapatikana kwenye whatsapp pia.25k tu
Nakuja
Wanakaribishwa kuja kutembea na wewe pia karibu sana!MK254 NairobiWalker karubuni majirani tufurahia urithi tuiopewa na Mungu sisi wana East Africa
Hahaha ..mmmh siyo urithi wa Sultan??MK254 NairobiWalker karubuni majirani tufurahia urithi tuiopewa na Mungu sisi wana East Africa
Habari mkuu,
Moja kati ya faida ya kufanya group trip ni ku share cost na wengine na ndio maana bei iko chini.
Kutakuwa na Limited Seats, ambazo ni 21 seats only, tukikamilisha idadi hio tutasimamisha kupokea booking.
tutatumia usafiri wa Bus moja (ikiwa wamefika watu 21), lakini tukifika sehemu ya kupanda boat, tutachukua boat 3 na kuelekea safari ya baharini kwenda kuwaona.
I am sure everyone will enjoy it π
Ukihitaji kufanya private tours na excursions pia tunaweza ku organize.
Zanziquest tunahamaisha utalii wa ndani, na sio wengi wenye muamko wa kutembelea vivutio tulivozawadia na Nature π
Nitakuja huko siku moja nile K ya Zanzibari.MK254 NairobiWalker karubuni majirani tufurahia urithi tuiopewa na Mungu sisi wana East Africa
Utoe posa uoe kwanzaNitakuja huko siku moja nile K ya Zanzibari.
Nataka nile niteme.Utoe posa uoe kwanza
HaiwezekaniNataka nile niteme.
Mambo ya kawaida haya ulimwengu mzima.Haiwezekani
Aisee kuna watu humu hawajitambui wapo kundi gani Wallah. Ingeliwekwa Laki1 ungelisema Khali sanaa, sasa elfu25 unasema Rahisi. Imewekwa hivo kwasababu tunafahamika kipato cha wa east africa ni duni sana. Sasa wewe unalalama. Dah bana wee ukizowea shida ni shida tu.Dah! Hiyo bei mbona ndogo sana, tatizo kwa bei ndogo hivyo mtasongamana hadi isiwe raha tena, ila shukrani tarehe 12 ni karibu sana, siku chache za kujiandaa haswa kwa sisi wa mbali huku.