Pamoja na kukupa like hapo umepotosha kidogo, daktari ametangazwa, atapishwa na kukabodhiwa dola. Then mjadala wa jinsi ya kumpata makamu utaendelea mpaka 2020 na daktari huyoo anajipumzisha zake.Pamoja na CCM kutangazwa washindi katika ngazi ya Urais,Uwakilishi na Udiwani,CUF hawaepukiki katika ustawi wa Zanzibar. Katika uchaguzi wa jana,CUF iligomea uchaguzi huo ingawa wagombea wao hawakuondolewa kwenye karatasi za kupigia kura.
Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais anapaswa kuwa mgombea aliyeshika nafasi ya pili ambaye lazima awe amepata asilimia kumi ya kura zote halali. Kwa asilimia tisini na moja za Dr. Shein,hakuna mgombea aliyepata asilimia kumi. Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.
Katika kuliona hilo,leo hii hii,Rais mteule Dr. Shein na hata Hamad Rashid wamekiri uwepo wa mgogoro wa kisiasa. Kwakuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa jana waliouita batili,watashiriki kutafuta suluhisho? Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Zanzibar)
Hao wawakilishi watapishwa na kutengua katiba kuwa serikali iwe na rais tu, hakuna cha makamu wala bibi yake makamu.Nahisi wewe ni mwanasesere, Huo muziki baraza la wawakilishi titauona toka kwa watu gani, wanaoingia kwa tiketi ya chama gani? Kama usiepunguani hujui uchaguzi huu ulihusu Wawakilishi pia tutakuitaje. Wambie vyeti vyao wakachambie wa halali wameshapatikana subiri matokeo ya wawakilishi
Kura zote hizo ni hesabu iliyochongwa! Maana yake ni kwamba ni halali kutokuwa na Makamu Wawili wa rais kuliko kuwa na Makamu wa rais kinyume na katiba! Hivyo shein ataendesha nchi akiwa na Makamu wa pili wa rais bila Makamu wa kwanza, na mambo yatakwenda!Mzee Tupatupa nafikiri hizo asilimia wameziweka makusudi kwa sababu zao,wasingeshindwa kuweka 89%
Katiba haikutungwa kwa ajili ya ccm na cuf!We ni kilaza tu, ushindani wa CCM na CUF, nani anaweza kupata 99%
CCM na Jecha walikuwa wamefikiria "ushindi kwa kishindo" tu na kusahau kumpatia Hamad Rashid 10%?....
Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.
..... Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.
... Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!
..
Hivi kiuhalisia ni nani hasa waweza sema aliweka mpira kwapani na kukimbia?Kama mmeamua kususa manake hakuna mseto partner katiabmpira kwapani, ndio itatoka wapi tena uwezi oa mjomba wala shangazi sababu mwali kala kona maisha yanaendelea. Utaenda kuoa kwengine fursa itakapo patikana.
Ni kweli ilitungwa kwa ajili ya chadema, tlp, nccr mageuzi, apt maendeleo usisahau na ACT wazalendoKatiba haikutungwa kwa ajili ya ccm na cuf!
ambacho ni kipi ADC Hana muwakilishiIkitokea hivyo, nafasi ya makamu wa kwanza wa rais kitapewa chama kingine cha upinzani cha pili kwa idadi ya wingi wa wawakilishi.
bado huijui siasa na bado hutambui kwanini Magufuli alitamka yale huku Zanzibar kukiwa tayari kumetangazwa Mshindi.....
Vutwa uvutwe....jifunze kuandika makala zenye mafunzo na kuwa "consistent"...title nzuri ila hoja zinajichanganya....wacha propaganda kijana!Pamoja na CCM kutangazwa washindi katika ngazi ya Urais,Uwakilishi na Udiwani,CUF hawaepukiki katika ustawi wa Zanzibar. Katika uchaguzi wa jana,CUF iligomea uchaguzi huo ingawa wagombea wao hawakuondolewa kwenye karatasi za kupigia kura.
Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais anapaswa kuwa mgombea aliyeshika nafasi ya pili ambaye lazima awe amepata asilimia kumi ya kura zote halali. Kwa asilimia tisini na moja za Dr. Shein,hakuna mgombea aliyepata asilimia kumi. Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.
Katika kuliona hilo,leo hii hii,Rais mteule Dr. Shein na hata Hamad Rashid wamekiri uwepo wa mgogoro wa kisiasa. Kwakuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa jana waliouita batili,watashiriki kutafuta suluhisho? Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Zanzibar)
Pamoja na CCM kutangazwa washindi katika ngazi ya Urais,Uwakilishi na Udiwani,CUF hawaepukiki katika ustawi wa Zanzibar. Katika uchaguzi wa jana,CUF iligomea uchaguzi huo ingawa wagombea wao hawakuondolewa kwenye karatasi za kupigia kura.
Hali halisi hapa Zanzibar inaonesha kuwa CUF wanahitajika,kuliko wakati wowote ule,katika kutanzua mkwamo mpya wa kikatiba pamoja na kufanyika uchaguzi unaosifiwa kipropaganda. Hapa Zanzibar,kwa hali ilivyo kulingana na matokeo,hakutapatikana Makamu wa kwanza wa Rais.
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais anapaswa kuwa mgombea aliyeshika nafasi ya pili ambaye lazima awe amepata asilimia kumi ya kura zote halali. Kwa asilimia tisini na moja za Dr. Shein,hakuna mgombea aliyepata asilimia kumi. Ndiyo kusema,hata Hamad Rashid,ingawa ndiye aliyetangazwa wa pili,hawezi kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. ADC ya Hamad Rashid haina hata Mwakilishi mmoja pia.
Katika kuliona hilo,leo hii hii,Rais mteule Dr. Shein na hata Hamad Rashid wamekiri uwepo wa mgogoro wa kisiasa. Kwakuwa CUF hawakushiriki katika uchaguzi wa jana waliouita batili,watashiriki kutafuta suluhisho? Hapa,wananchi karibu wote wako puzzled!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Zanzibar)
Kumbe wewe mchekeshaji?Vutwa uvutwe....jifunze kuandika makala zenye mafunzo na kuwa "consistent"...title nzuri ila hoja zinajichanganya....wacha propaganda kijana!
Kweli mkuu. Itarekebishwa soon.Jecha alikosea kuhesabu, ni asilimia 87 jamani.
Jecha huyu Jecha, alikosea kujumlisha tu