Zanzibar Best Spice & Herbs Products

Zanzibar Best Spice & Herbs Products

therealjoh

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
108
Reaction score
88
Zanzibarbest ni kampuni inayojishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa spices(viungo vya chakula) mbalimbali.

Baadhi ya viungo hivyo ni -:Tea masala,Pilau masala,Biryan masala,Mchuzi mix,Beef masala, Chicken masala na Herbal Tea.

Bidhaa zinapatikana kwa jumla na rejareja,bei ya
jumla 3,000/=,rejareja 3,500/=.
Mzigo unakufikia popote ulipo Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.

Ofisi zetu kuu zipo Dar es Salaam-Temeke mtaa wa bububu.

Mawasiliano 0688 055 606.

Karibuni sana.

IMG-20211014-WA0000~2.jpeg
IMG-20211004-WA0001.jpeg
IMG_20210928_125158_617~2.jpeg
 
Mumezingua hapo kwenye jumla 3000 wakati rejareja 3500, sasa huyo atakaenunua kwa jumla tayari mushampangia akapate jero tu !!!!!!!

Mungelifanya rejareja 4000.
 
Back
Top Bottom